Ni kweli ulichoandika sikupingi ni vile tu mimi nilikua na expectations zangu ndio maana niliona vile, Cheki hiyo steins gate you'll never be disappointedSijapenda kabisa walichomfanyia L, mshikaji aliteleza kidogo tu. Wanasema muandishi wa Death Note alitaka kumaliza Anime baada ya kufa L, ila baada ya kuona imekuwa well received wakaamua kuindeleza na kumkabidhi mikoba dogo Near. Na sitaki kuamini kwamba amemdhidi L akili.
Mwisho wa Light Yagami ni well deserved, wanasema usifunge mkataba na shetani, hasa kama ni Shinigami mtoa roho.
Ngoja niitafute hiyo Steins Gate, nasikia nayo ni kali.
Akaza ni habari nyingineDah niko season 2 ya demon slayer, fire hashira kafa aisee
Demon Castle imetokaDah niko season 2 ya demon slayer, fire hashira kafa aisee
S3 Onepunch man wamezingua sanaSolo leveling kuna Rumors itaachiwa kama Movie
Hii wameshindwa kupanga kabisa matukio walikuwa wanataka wawe na episode nyingiS3 Onepunch man wamezingua sana
Dah niko season 2 ya demon slayer, fire hashira kafa aisee
Mwamba Akaza hapana aseee sema huyu alikuwa noma alikuwa anaogopeka sana
Sijaelewa why watu wanamkubali sana manake ni mbabe sanaMwamba Akaza hapana aseee sema huyu alikuwa noma alikuwa anaogopeka sana
Alikuwa ni Next levelSijaelewa why watu wanamkubali sana manake ni mbabe sana
mshamba_hachekwi ONE PUNCH MAN Is it worth watching 2026 ? 👀One Punch Man kwangu haina mpinzani.
dah, waliharibu msimu wa 3 ila unaweza kuangalia ile miwili ya mwanzomshamba_hachekwi ONE PUNCH MAN Is it worth watching 2026 ? 👀
Hyo demon slayer infinite castle 2 inakua released mwaka huu auMwamba Akaza hapana aseee sema huyu alikuwa noma alikuwa anaogopeka sana
Ntafatilia hii pia, mana kwa sasa nna list kubwa sana ya anime nnazo taka nifwatilie ntaka nianze na master piece VINLAND SAGAdah, waliharibu msimu wa 3 ila unaweza kuangalia ile miwili ya mwanzo