Animation scales zinamaana gani kwenye simu ?

Kontelo

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
571
Reaction score
161
Habari zenu wadau,

Kwenye simu yangu( nahisi hata baadhi ya smartphone kadhaa hili jambo lipo hasa za dual simcard) kuna animationa za Window na Transaction.
Nini kazi zake? Kipi kitatokea km nikiziweka off? Na km nikiziweka on niweke kwenye range ipi? Huanzia 0.5x hadi 7x.

Nawasilisha
 
kazi zake ni ktka matumizi ya simu yako namaanisha kuboost speed ya simu yako.. ukiziweka off hazina madhara simu inakua poa.. hii ni mbadala wa zile cleaning apps mf.. clean master na DU speed booster... range inategemea na apps zilizopo kwenye simu zita respond vipi kwa hiyo animation.. ukiweka on chagua range ndogo 0.5x au 1.0x
NB: animation range inategemea aina ya simu na os version.. kwa experience galaxy s3 nili2mia 0.5x,, htc desire c niliweka off
 
Asante sana mkuu.
 
Back
Top Bottom