Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,154
- 13,267
Hii ni jokes lakini imetokea kiukwellliiiiiiii...........majuzi nilipata mgeni na kwa kuwa vyumba vyangu vichache niliamua kumpeleka Guest ambayo haikua mbali na ninapoishi, ilibidi nimuache mgeni nyumbani na kutangulia na mizigo yake Guest, nilipofika pale na mizigo na kwa kuwa muhudumu hajazoea kuniona Guest akanishobokea sana na kumwambia mwenzake, eh bwana duniani wawili wawili, huyu jamaa anafanana kopy rait na jamaa mmoja wa mtaa wetu
Ukweli ni kwamba huyo jamaa anayenifananisha ndiye mimi mwenyewe
...............nilibaki kucheka kimoyomoyo
Ukweli ni kwamba huyo jamaa anayenifananisha ndiye mimi mwenyewe
...............nilibaki kucheka kimoyomoyo