Anguko sasa ni dhahiri

Hata siro haongeagi hivooooo bhana au mwamunyange japo wana kozi nzito nzito walizosomea za kivita
 
Iwapo natural disaster itatokea bila shaka Mtukufu atafanya taifa lisishikamane kama ilivyokuwa kutokana na matamshi yake yanayoendelea
 
Nataka niandikeee mengiiii ila naogopa nsiingie kwenye mahakama ya Uchochezi!! Aya bhana Mshana, so far u wrote all
 
Usipende kutuletea mawazo mgando na fikra zinazotokana na inferiority complex.
 
Ndio Maana pana haja na lile jukwaa la UKAWA nalo liruhusiwe ile kuweka msawazo. kupingwa ngumi za uso huku umefungwa mikono inauma sana
 
Unataka singer yanayouoendeza moyo wako? Kwenye ukweli lazima useme nyie mnamfuga uovu jamaa anapasua tu
 
Mkuu umeacha habari za magari, ulozi nk umeingia siasani au ndio unaenda Na kasi yake
 
Nakubaliana na wewe tumeruka mkojo tumekanyaga kinyesi, ni suala la muda tu wenzetu pia wa upande wa pili watafahamu
 
Hata South Africa baada ya uhuru walitengeneza Tume ya usuluhishi na upatanishi lengo ikiwa ni kufuta uhasama na kuleta umoja……hapa kwetu baada ya uchaguzi……???
poleni sana,naona jamaa yenu anawanyorosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…