fundinaizer
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 1,821
- 2,894
Tumeshuhudia baadhi ya wadau kutoka mitandao ya kijamii mfano Jamii forums waliokuwa wakipigana kufa na kupona kuitetea serikali ya awamu ya tano wakianza kutundika daluga.
Watetezi hao waliojinasibu kuwa ni Kijani lialia huwaambii kitu kuhusu bwana yule na serikali yake sasa akili zimeanza kuwarudi huku tayari wakiwa hawawezi kumdhibiti tena bwana yule.
Sababu kubwa za hawa watetezi wa yule bwana kutundika daluga ni nyingi kutokana na trend ya hali halisi ya mambo mapya yanayolipuka kila siku ambayo mtanzania yeyote hawezi achwa kuguswa na jambo lolote.
Hizi ni sababu chache kwanini wengi watachomoka kwa kasi kulipisha kundi linalotumika kutetea ushindi kwa kutumia virungu na moshi wa kuwasha.
1. Sheria mpya ya mafao ya wastaafu
Hapa sio siri tutegemee watu wengi kama sio kujionyesha waziwazi basi watakaa kimya, hakuna ubishi kuwa chama cha bwana mkubwa kinapata sapoti kutoka kwa watu waliozaliwa muda mrefu yaani 1970 kurudi chini ambao wengi wao ndo wapo katika muda/ wanakaribia kustaafu sasa hapa wameguswa na kugundua kuwa walichokua wanakitetea kimewatia umaskini.
2. Wageni kupewa nguvu katika chama
Hakuna kitu kinauma kama kumtusi mtu mtandaoni baada ya muda mfupi anaapishwa na kuwa Naibu Waziri inatia hasira maana inakufanya uonekane kigeugeu maana kutoka kumuita mtu "anayetumika na mabeberu" hadi kumuita muheshimiwa.
Hii inawapa simanzi wadau wengi mtandaoni.
3. Songesha point nyingine hapo chini.........
.......