Joselela
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 6,825
- 9,644
Mkuu ni wapumbavu tu ndio wanaweza kutokana rais au kiongozi wao, mjinga kamwe hawezi kufanya hivo. hao unao waona ni wapumbavu.UMENIELEWA.Changamoto za kumtukana Rais wa Nchi ndio kipimo cha Uongozi bora!? Be serious even for a second!
Trump kiongozi wa so called "the free world" kutwa akiguswa anatokwa mapovu na kufukuza watu kazi hovyo hovyo. Juzi kati Jim Acosta wa CNN alinyang'anywa access pass ya White house sababu alimuuliza Trump maswali ambayo hayakumpendeza. Je huo haukuwa uamuzi wa kuwafunga watu midomo huko Washington!?
Mjitafakari Wanaharakati!
Trump hufukuza tu, bali hapa kwetu tunaona mtu anaempa changamoto rais anapata tabu na misukosuko sana mara nyingine hadi kupotezwa ingawa hatutuhumu kwa ni rais kwa maana ya taasisi wanafanya hivo.
Ila tujnachojiuliza ni kwamba kwanini hayo hutokea wakati rais anapewa changamoto.
Kuna njia nyingi za kushughulikia hayo bila kuonesha kama unakandamiza demokrasia.