Ungejua nilivyo na uchungu ndio maana nataka Lowassa arudi madarakani.ndugu yangu jaribuni kuwa nauchungu wataifa hili jamani Sikatai Lowassa alikuwa mtendaji mzuri sana tena sana *ila Kumrudisha Lowassa kwenye madaraka makubwa ni kuliangamiza taifa.
1. lowassa atataka kulipiza kisasi kwakuwa mkuu wa nchi alimtenda vilivyo
2. Lowassa hata kubali demokrasia itawale atawaminya wapinzani na nchi itawaka moto
3.Lowassa hata weza kuliinua taifa kiuchumi
Kwa hiyo unataka wachangiaji wenye mtazamo kama wako tu ndio wachangie.
nje ya Ccm,naweza kukuunga mkono,ndani ya Ccm,HATA CKU MOJA!Lowassa akichukua fomu nitampigia kampeni la nguvu.
Nafikiri tumuache Lowassa atumie uhuru wake kama mtanzania, wenye mamlaka ya kumpa urais mtu yeyote ni watanzania kwa hiyo Lowassa hata akiongea maneno yakatoa fedha na watu tukagawana hayatamsaidia kama sisi tutasema no kwenye uchaguzi. Yuko wapi Lau Masha pale mwanza alikuwa waziri wa polisi na Magereza je alishindwaje wakati aliongoza dola la polisi???? Yuko wapi Mama Getruda Mongela aliyeongoza mkutano wa dunia huko Beijing miaka ile????.wako wapi wabunge 23 walioongoza majimbo yao toka 2000 hadi 2005 wa CCM ambao amjimbo yao yamekwenda CDM?????
mWACHENI lOWASSA atumie haki yake lakini cha moto atakiona ktk sanduku la kura.Kwa sasa inchi hii hakuna mgombea toka CCM atakayeweza kumtikisa DR.sLAA hilo halina ubishi kinachotakiwa ni kuanza kumuandalia mazingira mazuri ya kuzoa ushindi lakini mjue huyo ndiyo chaguo la WATANZANIA hata kama CCM wasipokubali kuandika katiba mpya.
Nawasilisha
Tupo pamoko mjomba lakini ninahoja kwa hawa jamaa wanamtuhumu Ed Lowasa kama wanamwona ni mwizi kwa nini wasimpeleke mahakamani ili wammalize kabisa kama kweli wako serious hawataki agombee uraisi 2015
uampelekaje LOWASSA mahakamani wakati serikali iliyopo yote ni ya kifisadi? nani atakaye kubali kuendesha hiyo kesi? wakati mwisho wa kesi itabidi jk nayeahusishwe?
Ina maana hoja ya never ya kutaka Lowassa asigombee ndiyo positive mind kwako inawezekana kingxvi kaiona ni negative mind ndiyo maana akaipinga hata mimi naiona ni negative mind na positive mind yangu ni kuwa Lowassa bado anaweza kuwa kiongozi mzuri wa taifa.Huja muelewa never anataka wachangiaji wenye postive mind kwa faida ya taifa hili
Kwani siku hizi bado kuna NEC-CCM humo humo ndani ya CCM hao NEC unaowaona ni vitambaa tu tena vya kichwani hawana lolote.nje ya Ccm,naweza kukuunga mkono,ndani ya Ccm,HATA CKU MOJA!
Fikiria zaidi wewe! kama unaamini hivyo kwa sababu aliipa mchongo richmond, dowans je? leo symbion je? kama alihusika kifisadi juu ya richmond mitambo hiyo haingekuwa ikifanyiwa mpango kila siku wa kuiuzia tanesco umeme maana yeye hayupo serikalini tena. Ebu jiulize kwa nini bado mitambo hiyo kila siku inafanyiwa mpango wa kuuza umeme wake tanesco. Ed bado ananguvu kwenye hilo?
watanzania wengi wanaipigia kura ccm wala si mtu
Fikiria zaidi wewe! kama unaamini hivyo kwa sababu aliipa mchongo richmond, dowans je? leo symbion je? kama alihusika kifisadi juu ya richmond mitambo hiyo haingekuwa ikifanyiwa mpango kila siku wa kuiuzia tanesco umeme maana yeye hayupo serikalini tena. Ebu jiulize kwa nini bado mitambo hiyo kila siku inafanyiwa mpango wa kuuza umeme wake tanesco. Ed bado ananguvu kwenye hilo?
Kilewo umemaliza kabisa! Hilo ndilo jambo la msingikama nitakuwa nimemuelewa mtoa mada vizuri: anasisitiza tuwaelimishe watanzania wenzetu wasiwachagueni wezi akina lowasa na wengine wengi wenye tuhuma mbalimbali za kuliibia taifa.