Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,977
- 36,081
Bye bye Nyani Ngabu wakati wako umeshaisha tayali.
American boy wata bado wanakungumzia. Hapo umemaliza wamekuelewa ndio maana bado upo kwenye fikra zao. [emoji122] [emoji122] [emoji122]Hahahaaaa
The fact that umenianzishia thread ni ushahidi tosha kwamba umeniwaza.
Na kama umeniwaza basi bado niko relevant.
Thank you for being a dedicated card-carrying member of my fan club!
Happy weekend.
Wala sijakuwaza ila leo nimeingia Jf kupitia browser ndio nikaona hayo mabadiliko .Hahahaaaa
The fact that umenianzishia thread ni ushahidi tosha kwamba umeniwaza.
Na kama umeniwaza basi bado niko relevant.
Thank you for being a dedicated card-carrying member of my fan club!
Happy weekend.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapana ni kijana mdogo tu huyo.Kumbe Nyani Ngabu ni 27? Mi nilidhanigi ni mzee mmoja zaidi ya miaka 50 huko
American boy wata bado wanakungumzia. Hapo umemaliza wamekuelewa ndio maana bado upo kwenye fikra zao. [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Sasa mbona hao uliowataja sijamuona Platinum Member zaidi ya huyo USA baby? Au unadhani Platinum member anakuwa awarded kwa kupiga porojo tu humu?Wala sijakuwaza ila leo nimeingia Jf kupitia browser ndio nikaona hayo mabadiliko .
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndio nani uyo?
Naona mzee ushaanza kutema yaiAnd at the same time I'm still repping the set...
Unstoppable baby!
Huo u platinum wa kununua ,Ha ha ha ha ha ha haSasa mbona hao uliowataja sijamuona Platinum Member zaidi ya huyo USA baby? Au unadhani Platinum member anakuwa awarded kwa kupiga porojo tu humu?
U are in love with Nyani Ngabu.
U are in love with Nyani Ngabu.
Huo u platinum wa kununua ,Ha ha ha ha ha ha ha
Sasa unataka kusema huo u platnum ulipewa bure?Sijawahi kununua status hapa JF.
Sasa unataka kusema huo u platnum ulipewa bure?
Una kiingereza murua sana nifanyeje nikufikie ata robo yakoAnd at the same time I'm still repping the set...
Unstoppable baby!
Kwa miaka kadhaa ndugu Nyani Ngabu au( a boy from USA [emoji631] ) kama anavyojiita mwenyewe amekuwa ni mtu maarufu humu jukwaani haswa kwa mbwembwe zake za kuongea kiingereza cha ndani zaidi kiasi kwamba kama kiingereza chako ni cha kuunga unga huwezi kumuelewa kamwe vitu anavyoviandika .
Kwa miaka hiyo kama mtu ukizungumzia kuhusu JF ilikuwa si rahisi kutomjua huyu mtu ila kadri siku zinavyozidi kwenda umaarufu wake unazidi kufifia kama moto wa nyasi .
Ngabu alikuwa anaongoza kwa messages nyingi humu jukwaani lakini kwa sasa ameshapinduliwa tayali na ameachwa mbali sana View attachment 511524
Pia kwa upande wa likes ameachwa mbali saaana ,kwenye upande wa likes yeye ni mtu wa 18 na muda sio mrefu atatupwa kwenye wale watu 20 wanaoongoza kwa kuwa na likes nyingi
Namba moja inashikiliwa na Bitoz akifuatiwa na Jimenna ,Shunie ,Mussolin5 na Quigley
View attachment 511525
View attachment 511528
Ni kazi kubwa sana waliyofanya hawa makapuku kufagia fagia kwa kweli ,maana ukiangalia wana messages chache ila likes nyingi sana
Bila shaka baada ya miezi kama sita mpaka miaka miwili na nusu umaarufu wa Ngabu utakuwa ni wakaida sana kama 10% tu basi hasa kwa wale wageni ndio hawatamjua kabisaa .
Bye bye Nyani Ngabu wakati wako umeshaisha tayali.