Anguko la lau masha kwa kweli linahuzunisha..nyakati zimebadilika. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anguko la lau masha kwa kweli linahuzunisha..nyakati zimebadilika.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Vitendo, Nov 17, 2010.

 1. Vitendo

  Vitendo JF-Expert Member

  #1
  Nov 17, 2010
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 597
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  http://http://www.youtube.com/watch?v=yOyo4MDOJko&feature=related
  Hii alijua kuwa yeye ni yeye tu na hakuna mwingine kumba Wenje Alikuwepo.
  Hii ni kuwaambia wabunge vijana wote wawe makini.
  http://http://www.youtube.com/watch?v=V1afWQxCEfQ&feature=related
  Hapa alikuwa ameshakata TAMAA na amepanic.akimuangalia unamuona kabisa Jasho linamtoka.
  Mwisho naomba IMMA Advocates wabadili profile ya bosi wao.
  Lawrence Kego Masha
  Partner
  Admitted to the Bar, 1996.

  Practice Areas:

  Natural Resource Law; Banking & Finance; Privatization; Corporate Restructuring; Securities; Conveyancing.

  Brief biography:

  Born in Sengerema , Tanzania , March 11, 1970.

  Education:

  University of Dar es Salaam (LL.B., Hons., 1991);
  Georgetown University (LL.M., 1993).

  Work experience:

  State Attorney, 1991;
  Company Secretary and Managing Director, Tanzania Oxygen Limited, 1996-1997;
  Council Member, Dar Es Salaam Stock Exchange.

  Member:

  Tanganyika Law Society
  East African Law Society

  Languages:

  English and Swahili.

  Email: masha@immma.co.tz

  (NB: Mr. Masha is currently on sabbatical leave following his appointment as Cabinet member in Tanzania's Fourth Phase Government.

  Mr. Masha was initially appointed Deputy Minister of Energy and Minerals, then Deputy Minister of Home Affairs and currently is the Minister of Home Affairs in the Government of the United Republic of Tanzania.
  http://http://www.immma.co.tz/people.php?id=masha
   
 2. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #2
  Nov 17, 2010
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,547
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  noted
   
 3. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #3
  Nov 18, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  iko clearkuwa alikuwa sabaticall leave basi na arudi kuendelea na mambo yake ya uwakili
   
 4. Mwananzuoni

  Mwananzuoni JF-Expert Member

  #4
  Nov 18, 2010
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 288
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35

  Ajifunze kuwa ukiwa na Madaraka sio unaleta dharau kwa Wananchi wakati wamekupa hayo madaraka.
   
 5. M

  Mopalmo JF-Expert Member

  #5
  Nov 18, 2010
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  si kidogo ila watakao shindwa kusoma alama za nyakati wataadhibika kwa namna hiyo hiyo,asanteeeeeeeee
   
 6. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #6
  Nov 18, 2010
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Mh! CV imetengenezwa jamani! Masha kazaliwa USA, kumbukeni baba yake aliondoka Tanzania miaka ya 66-68 baada ya kukwaruzana na Mwalim ndani ya Chama. mwenye data zaidi aweke
   
 7. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #7
  Nov 18, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,470
  Likes Received: 5,852
  Trophy Points: 280
  He is lucky to graduate at 21...Tena Mlimani...wengi wetu umri huo sanasana uko 1st year
   
 8. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #8
  Nov 18, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  aende akaoshe magari ulaya, hapa hapawezi!!
   
 9. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #9
  Nov 18, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Assume la kwanza miaka 6
  La saba Miaka 6-12
  Form four miaka 13-16
  Form six Miaka 17-18
  Bachelor Miaka 19-21

  Kwa watoto wa siku hizi ambao hawaendi JKT na pia wanaunganisha shule bila hata kupoteza mwaka mmoja hii inawezakana. Lakini kwa wakati huo wa JKT lazima hii ni ndoto. Kuna kufoji miaka hapa
   
 10. Vitendo

  Vitendo JF-Expert Member

  #10
  Nov 18, 2010
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 597
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  BIla shaka imeisha au wewe unajua kuwa ataendelea kuwa kwenye cabinet?
   
Loading...