Anguko la kikwete furaha ya wenzake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anguko la kikwete furaha ya wenzake

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by hittler, Jul 22, 2011.

 1. h

  hittler Member

  #1
  Jul 22, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naamini wakati mgumu tunaopitia Watanzania ni anguko kubwa la serikali ya rais Kikwete, rais amesahau mambo muhimu ya Watanzania badala yake anakaa kimya na kulinda maslai ya wachache kama kina Jairo. Hao wachache hawana urafiki wa dhati kwake kwa maana wanafanya image ya rais inachafuka. Wangekuwa na busara wasingeyafanya wayafanyayo ili basi Kikwete kama akimaliza muda wake awe ana la kukumbukwa na pa kwenda vilevile. Rais anasahau kuwa akumulikae mchana usiku akuchoma, wanafurahia sana adha anazopitia rais na ata wakisikia wananchi wameingia barabarani kumuondoa rais na serikali yake walah wataunga mkono wananchi ili tu kutimiza ndoto zao. Lakini siku zote asiyesikia la mkuu huvunjika guu, na mdharau mwiba mguu huota tende.
   
Loading...