unachokisema ni kweli,hata ukiangalia trend yake kwenye media imepungua.kwa mfano,blog ya bongo5 ambayo ilikuwa inatupia hadi 3 post za diamond kwa siku,imeonekana zimeshuka na kuanzia wiki iliyopita wamepost post kama mbili tu,ile ya kiboko yao concert,na kile kilichotokea kiboko yao concert kuhusu hirizi walizozikuta pale kwenye concert.pia blog za nigeria ambazo zilikuwa zinapost post nyingi za diamond,katika wiki hii hawajapost kitu zaidi ya kile walichodai kuwa jamaa ka realis ngoma mpya ya KAMWAMBIE kumbe sio.blog moja tu ya ghana ilipost post ya diamond katika wiki nzima.uganda,wamepost moja tu ile ya UMAARUFU WA ZARI UMEONGEZEKA MARA TATU BAADA YA KUWA NA DIAMOND na hiyo post iliweza kuwa posted na baadhi ya blog nchini kenya.ukija south afrika,hakuna blog hata moja waliopost post ya diamond.nje ya afrika ni TRACE TV pekee yake ndio waliogusia ishu ya diamond baada kuiweka nyimbo ya NTAMPATA WAPI katika 10 best videos from afrika.ukweli umaarufu wake umedrop katika wiki iliyoisha na hii inayoendelea