Anguko la chuo cha mati yole

Anguko la chuo cha mati yole

mrringo

Member
Joined
Jul 24, 2019
Posts
5
Reaction score
3
Mati uyole
Nili omba nafasi ya masomo mati uyole ila mpaka ss sjapata taarifa yoyote kama nimepata nafasi au vp sijui wengine mlio apply mmepata
 
Muhas
Cuhas
Kcmc
Udsm
Udom
Sua
Mzumbe

Hivi pekee ndio vyuo. Hivyo vingine tafuteni jina tofauti na jina chuo
 
hahahahahah haya bhna kwa hiyo mati uyole ni shule ya kata sio
 
Title yako ni different na content ya thread..
Anyway, kuhusu vyuo vya kati vya kilimo Certificate na Diploma course, selection it will be publication on 0ct 05, 2019. So be patient kwa mda huu me pia ni applicant wa kozi za kilimo mwaka huu Ila sijaomba MATI Uyole, tafuta thread yangu ya tar 24 sept. So kikubwa tuombe mungu tu maombi yetu yakubaliwe..
InshaalaH
 
Title yako no different na content ya thread..

Umeapply wap mkuu?
 
Mati uyole
Nili omba nafasi ya masomo mati uyole ila mpaka ss sjapata taarifa yoyote kama nimepata nafasi au vp sijui wengine mlio apply mmepata
Mbona heading yako na ulichoandika havina ushirikiano kabisa mkuu. Yaweza kuwa sababu hiyo.
 
I pia ni pumba.ivi uwa mna tumia nini kuandika
Muhas
Cuhas
Kcmc
Udsm
Udom
Sua
Mzumbe

Hivi pekee ndio vyuo. Hivyo vingine tafuteni jina tofauti na jina chuo
 
Title yako no different na content ya thread..
Anyway, kuhusu vyuo vya kati vya kilimo Certificate na Diploma course, selection it will be publication on 0ct 05, 2019. So be patient kwa mda huu me pia ni applicant wa kozi za kilimo mwaka huu Ila sijaomba MATI Uyole, tafuta thread yangu ya tar 24 sept. So kikubwa tuombe mungu tu maombi yetu yakubaliwe..
InshaalaH
Mkuu heshima yako. Nisaidie idea, ninakijana kamaliza form 6 na kapata div 3. Anapenda aende kusomea diploma ya Kilimo. Je hapo uyole anaweza apply? Nipe mawazo ndugu yangu.
 
Too late mkuu, deadline it was on sept 02.. Kesho kutwa tu Vyuo vitaanza kutoa selection.So jambo msingi hapo ni kwenda chuo husika mnacho-prefer kusoma muone mtasaidiwaje, list ya vyuo vya kilimo vya serikali vilivyo chini ya wizara ya kilimo ni hivi:-
* Mati Mtwara - Mtwara
*Mati Tumbi - Tabora
*Mati Uyole - Mbeya
*Mati Mlingano - Tanga
*Mati Ilonga - Morogoro
*NSI - Kidatu
*Mati Kartin - Ifakara
*Mati Ukiriguru - Mwanza
*Mati Tengeru - Arusha
*KATC - Kilimanjaro
*Mati Igurusi -Mbeya
*Mati Mubondo - Kigoma
*Mati Inyala -

"All the best.."
 
Asante sana Mkuu, naomba uje PM tulonge kidogo, naona utanisaidia jambo. Thanks once again.
 
Title yako ni different na content ya thread..
Anyway, kuhusu vyuo vya kati vya kilimo Certificate na Diploma course, selection it will be publication on 0ct 05, 2019. So be patient kwa mda huu me pia ni applicant wa kozi za kilimo mwaka huu Ila sijaomba MATI Uyole, tafuta thread yangu ya tar 24 sept. So kikubwa tuombe mungu tu maombi yetu yakubaliwe..
InshaalaH
sawa sawa nimekupata mkuu
 
Back
Top Bottom