Kwahiyo pale Ardhi ni sekondari ya kata au sio?Muhas
Cuhas
Kcmc
Udsm
Udom
Sua
Mzumbe
Hivi pekee ndio vyuo. Hivyo vingine tafuteni jina tofauti na jina chuo
Acha dharauMuhas
Cuhas
Kcmc
Udsm
Udom
Sua
Mzumbe
Hivi pekee ndio vyuo. Hivyo vingine tafuteni jina tofauti na jina chuo
Umeapply wap mkuu?Title yako no different na content ya thread..
Anyway, kuhusu vyuo vya kati vya kilimo Certificate na Diploma course, selection it will be publication on 0ct 05, 2019. So be patient kwa mda huu me pia ni applicant wa kozi za kilimo mwaka huu Ila sijaomba MATI Uyole, tafuta thread yangu ya tar 24 sept. So kikubwa tuombe mungu tu maombi yetu yakubaliwe..
InshaalaH
Mati uyole
Nili omba nafasi ya masomo mati uyole ila mpaka ss sjapata taarifa yoyote kama nimepata nafasi au vp sijui wengine mlio apply mmepata
Mbona heading yako na ulichoandika havina ushirikiano kabisa mkuu. Yaweza kuwa sababu hiyo.Mati uyole
Nili omba nafasi ya masomo mati uyole ila mpaka ss sjapata taarifa yoyote kama nimepata nafasi au vp sijui wengine mlio apply mmepata
Muhas
Cuhas
Kcmc
Udsm
Udom
Sua
Mzumbe
Hivi pekee ndio vyuo. Hivyo vingine tafuteni jina tofauti na jina chuo
Mkuu heshima yako. Nisaidie idea, ninakijana kamaliza form 6 na kapata div 3. Anapenda aende kusomea diploma ya Kilimo. Je hapo uyole anaweza apply? Nipe mawazo ndugu yangu.Title yako no different na content ya thread..
Anyway, kuhusu vyuo vya kati vya kilimo Certificate na Diploma course, selection it will be publication on 0ct 05, 2019. So be patient kwa mda huu me pia ni applicant wa kozi za kilimo mwaka huu Ila sijaomba MATI Uyole, tafuta thread yangu ya tar 24 sept. So kikubwa tuombe mungu tu maombi yetu yakubaliwe..
InshaalaH
Too late mkuu, deadline it was on sept 02.. Kesho kutwa tu Vyuo vitaanza kutoa selection.So jambo msingi hapo ni kwenda chuo husika mnacho-prefer kusoma muone mtasaidiwaje, list ya vyuo vya kilimo vya serikali vilivyo chini ya wizara ya kilimo ni hivi:-Mkuu heshima yako. Nisaidie idea, ninakijana kamaliza form 6 na kapata div 3. Anapenda aende kusomea diploma ya Kilimo. Je hapo uyole anaweza apply? Nipe mawazo ndugu yangu.
Asante sana Mkuu, naomba uje PM tulonge kidogo, naona utanisaidia jambo. Thanks once again.Too late mkuu, deadline it was on sept 02.. Kesho kutwa tu Vyuo vitaanza kutoa selection.So jambo msingi hapo ni kwenda chuo husika mnacho-prefer kusoma muone mtasaidiwaje, list ya vyuo vya kilimo vya serikali vilivyo chini ya wizara ya kilimo ni hivi:-
* Mati Mtwara - Mtwara
*Mati Tumbi - Tabora
*Mati Uyole - Mbeya
*Mati Mlingano - Tanga
*Mati Ilonga - Morogoro
*NSI - Kidatu
*Mati Kartin - Ifakara
*Mati Ukiriguru - Mwanza
*Mati Tengeru - Arusha
*KATC - Kilimanjaro
*Mati Igurusi -Mbeya
*Mati Mubondo - Kigoma
*Mati Inyala -
"All the best.."
Usiwaze mkuu,tupia tu PM nitakujibuAsante sana Mkuu, naomba uje PM tulonge kidogo, naona utanisaidia jambo. Thanks once again.
sawa sawa nimekupata mkuuTitle yako ni different na content ya thread..
Anyway, kuhusu vyuo vya kati vya kilimo Certificate na Diploma course, selection it will be publication on 0ct 05, 2019. So be patient kwa mda huu me pia ni applicant wa kozi za kilimo mwaka huu Ila sijaomba MATI Uyole, tafuta thread yangu ya tar 24 sept. So kikubwa tuombe mungu tu maombi yetu yakubaliwe..
InshaalaH
Ulipigiwa simu au kuna blog waliyorushia majina..?yap yap
vp mkuu we umepata