Fredrick Sanga
JF-Expert Member
- Jan 27, 2011
- 3,153
- 701
Nilifuatilia kwa makini kabisa bunge lililopita ,nilichogundua ni kwamba wabunge wa cdm walioanzisha swala la kuiwajibisha serikali ni halima mdee na Tindu Lissu, kwa mshangao wa wengi mbunge Zitto Kabwe aliteka mawazo ya hao wabunge wawili na kunukuliwa akisema swala la kuiwajibisha serikali lilikuwa ni la kwake, kwa lugha nyepesi tu utagundua ya kwamba cdm hawako pamoja kama chama ila ni mkusanyiko wa wanaharakati wenye malengo binafsi.
brain concussion
nd
Wewe ungeenda kuzungumza na kingunge hili sualaa u Jambo leo sio JF. Halafu CDM sio saizi yako maana una uwezo mdogo sana wa kuchambua mambo.
SITHANI KAMA ULIYOTE HII MADA UNAAKILI TIMAMU, NA HAKUNA THAMBI KUBWA KAMA KUWA UPANDE WA WATENDA MAOVU...kwa kupotosha haki,kuwaibia walala hoi NK...
mkuu ritz, rejao mko wapi nisaidieni kujibu mashambulizi ya hawa wana cdm.
Huyu ni chizi nyinyi mko wengi hivi ukisema anguko la CDM na CCM ikabaki inakuhaje?
Kama mwenyekiti na katibu wa tawi wakishikana mashati ni dalili ya chama kuanguka, je, waziri na naibu waziri wake wakitishiana maisha mbele ya vyombo vya habari, hilo litaitwa anguko la nini?Nakubaliana na wewe, hapa mtaani kwetu mwenyekiti wa tawi la CDM na Katibu wake usiku wa jana wameshikana mashati; kweli hiki chama ni uvunjaji wa amani tu
Nilifuatilia kwa makini kabisa bunge lililopita, nilichogundua ni kwamba wabunge wa cdm walioanzisha swala la kuiwajibisha serikali ni halima mdee na Tindu Lissu.
Kwa mshangao wa wengi mbunge Zitto Kabwe aliteka mawazo ya hao wabunge wawili na kunukuliwa akisema swala la kuiwajibisha serikali lilikuwa ni la kwake, kwa lugha nyepesi tu utagundua ya kwamba cdm hawako pamoja kama chama ila ni mkusanyiko wa wanaharakati wenye malengo binafsi.