Anguko la CHADEMA nani alaumiwe?

Mhh CHADEMA inawasumbua sana, nyie kaeni kimya, mmepatiwa wabunge wote CCM, semaneni wenyewe huko
 
Mbowe anapaswa sio tu kupigwa mawe na kutolewa ofisini Bali pia kufaibua ubadhirifu wake wote uliokua unafichwa fichwa na walioko chini yake wakati wa ukaguzi na kutoa taarifa za uongo . Hali hii itamtia Mbowe hatiana na kuhakikisha anafungwa kifungo Gerezani sambamba na Kesi yake ya Ugaidi.
.

Kama Mbowe ameshindwa kukijenga Chama chake Kaskazini eneo lenye asili ya upinzani tangu Ukoloni ataweza kukijenga wapi tena?
Aliachiwa Chama kikiwa na mizizi mikubwa ikuyojengwa na Ndesamburo na Dr.Slaa kwa miaka mingi matokeo yake anazonewa mpaka nyumbani kwake?
Chama kimejengwa na Watu wa kawaida kama kule Nkasi, Tunduma, Musoma, Morogoro n.k. Mbowe ana siasa za Ubinafsi sana. Siasa haitaki mtu mbinafsi narudia tena kama mnabisha mmendeleeni kumchekea Mbowe 2025 itawakuta naCCM itapita tena japo kwa kura pungufu kido hata kama patakua na tume huru.

Hivi nani mwenye akili timamu atatoka CCM sasa ajiunge na Chadema ya Mbowe.?
Mwenyekiti kweli unashindwa kumvumilia mtu kama Sumaye, Rwakatare, Silinde, Komu, Kubenea, Selasini, n .k . Utawezaje kuwa Mwenyekiti wa Chama Tawaala chenye Serikali inayeheshimu Demokrasia?
Hivi mnajua Gharama za Uhuru na Demokrasia kweli au mnabwabwaja tu majukwaani Demokrasia Demokrasia huku mkiwa mejaa mioyo ya Kidikteta na kikafiri. ?
Hivi Mbowe anayemfukuza uanachama Mbunge aliyechaguliwa na wananchi kwa sababu tu amegoma kuvaa Barakoa anaweza kuvumilia watu wanaoandamana na kuvunja miundombinu kama tulivyoona kule Marekani huku Jeshi likipiga magoti kuomba msamaha watu watulie na sio kuwapiga risasi na mabomu ?
Bila shaka Mbowe asiyeweza kumvumila mtu anayewakilisha wana nchi kisa tu kwa tamko la kuwalazimisha watu waogope korona hawezi kamwe kuwavumilia waandamanaji endapo Chama chake kitatawala. Mbowe akiwa waziri mkuu au Mwenyekiti wa Chama tawala ataamuru wapigwa mabomu ya sumu.
Mbowe ni muovu kuliko mtu yeyote hapa Tanzania.

Piga chini kwanza huyo Dikteta ,Mhuni, Mlevi na msanii Mbowe ndani ya chama kisha mamiloni ya watanzania wa makabila mengi sana wasio na vyama watajiunga na Chadema kuelekea 2025 .
 
Back
Top Bottom