jimmy jimble
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 216
- 216
Waswahili walisema usile na kipofu ukamshika mkono. Naam wazungu walotumia utawala wa indirect rule badala ya direct rule walikuwa wana akili sana ndio hawa ambao mpaka leo makoloni yao wanaongea lugha zao na hata wakipata migogoro wao ndio wasuluhishi inshort bado wanatawala! CCM inakosea sana inapodhani labda itakaa madarakani milele.
Labda wafute mfumo wa vyama vingi lakini vinginevyo CCM wajiandae tu kisaikolojia kwajili ya anguko lao hata ikiwa miaka 50 ijayo.
Hakuna mabadiliko ambayo huja kirahisi hata siku moja. Iliwachukua wamarekani miaka zaid ya 30 mpaka kumpata Obama Rais wa kwanza mweusi tangu Martin Luther King alipotabiri kuwa siku moja taifa hilo litaongozwa na mtu mweusi... ''I have a dream...''
Hiii inatufundisha kuwa cheo ni dhamana,unadhani upinzani ukitawala nchi itakuaje kwanza nikulipa manyanyaso waliyopata sikunyingi,CCM watabanwa kila kona ,ajira nk ukisema we ni CCM utachekwa.
CCM lazima itambue umuhimu waupinzani ni kuishape serikali,kuipa changamoto,kuikosoa. Kuimotivate ila wasichukulie vingine,zile changamoto wazitumie kuwajenga.
Waishi vizuri na upinzani kama marafiki lkn sheria ifuatwe na majukumu yao.
Tujue namna ya kuenenda na wananchi nk wanasema zimwi likujualo halikuli likakwisha ndugu zangu tujiandae kwa yajayo. Unapomtawala binadam yeyote mwenye akili elewa ipo siku atazinduka tu haijalishi lini,sasa ishi nae vizuri ili. Hata akiznduka aone wewe ni rafiki si adui,aone kuna mema uliwahi mfanyia hivo hawezi kugeuka moja kwa moja.
Mungu ibariki Tanzania