izzo
JF-Expert Member
- May 31, 2015
- 2,812
- 6,465
Walaaniwe wote wanaoiombea CCM mabaya. Kila mwenye nia njema na nchi hii aseme AMIN.
hawa ndio wanaosema mitaani kuwa ccm ndo baba yao ndo mama yao mzee jiandae kuwa mkimbizi wa kisiasa ktk nchi mbalimbali kama ww ni kiongozi wa ccm bt kama ni mwanachama wa kawaida jiandae kwenda kunywa kahawa mtaa wa lumumba kwan office zenu zinakuwa tupu viongozi wote watakuwa wamekimbia nchi. kwa mambo waliowafanyia watanzania mm naamini akuna mwanachama kweli kweli wa ccm ila ni njaaa tu na kutaka madalaka tu nenda kenya now mtafute mwanachama wa KANU kama utampata na ndivyo itakuwa kwa ccm