NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,985
- 21,236
Kwa Tume Huru kabisa! Membe atamzidi jiwe kwa kura! tena mbali sana!!!japo Lissu ndio Baba lao!!!!
Sio kweli mimi CCM active simo kwenye Hilo kundi la kumlilia Membe achukue form acha uongo wewe ya CCM tuachie wenyeweNaona wana CCM wote wa hapa jamiiforum wanamlilia Membe achukue Form za urais huko huko CCM.
VIJANA wasiomtaka magufuli NI wale wasioijua vyema historia ya nchi hii....Hivi kuna kijana anayemtaka Magufuli huku mtaani zaidi ya MATAGA? Hao MATAGA wenyewe siyo kwamba wanamtaka bali wanapigania matumbo yao angalau wapate buku 7 ya kununua Faru John.
Tume hyohyo NDIYO iliyompa nafasi pale foreign affairs ikawa kla uchao anapanda ndege KWENDA kutuwakilisha kidiplomasia...Kwa tume huru kabisa!membe atamzidi jiwe kwa kura!tena mbali sana!!!japo lisu ndio Baba lao!!!!
VIJANA wasiomtaka magufuli NI wale wasioijua vyema historia ya nchi hii....
VIJANA wasiomtaka magufuli HATA km ni wasomi bx ujue ni wale wote WASIOPENDA WAAFRIKA TUTUMIE VIPAWA VYETU KUFIKIRI....
VIJANA wasiomtaka magufuli ni wale wote wafanyao BIASHARA ya NGADA na magendo...
Kwi kwi kwi kwi haya jifurahishe....Njaa mbaya sana yaani povu lote hili kwa sababu ya buku 7.
Ana pesa ya QaddafiHii nchi yetu kila tukikaribia uchaguzi mkuu kuna majina huzuka ghafla halafu hupata support isiyotegemewa kujaribu kuuaminisha umma hao watu wana sifa za kuwa "Rais" wa nchi yetu.
Bahati ya Membe this time jina lake ndio linasikika lakini kusema ukweli hana uungwaji mkono wa wengi kama tunavyoaminishwa, ana jina tu linalofahamika kwenye siasa zetu, na vyeo alivyowahi kushikilia, lakini kama anakosa uungwaji mkono wa wengi...
Hivi kweli unaamini hili?Kwa tume huru kabisa!membe atamzidi jiwe kwa kura!tena mbali sana!!!japo lisu ndio Baba lao!!!!
Huyu wa sasa ana sera gani inayomuuza? Si ngekewa ilimpitia tu baada ya mvutano kati ya Lowasa na Membe? Ikaonekana tukose wote.azi kuwa BM hana hata sera moja inayomuuza na hivyo kuwafanya Watanzania wamwamini na kumchagua kama Rais
Yaani unaifananisha Malawi na Tanzania?!!!Kilichotokea Malawi ni faraja, kiu ya maamuzi yenye tija, ama haja ya dhati ya utubutu wa kuhitaji mabadiliko ya kweli ya kimfumo na kitaasisi ktk kutaka kuiendesha kwa ufanisi ofisi ya kiimla ya Rais.
Kilichotokea Malawi ni faraja, kiu ya maamuzi yenye tija, ama haja ya dhati ya utubutu wa kuhitaji mabadiliko ya kweli ya kimfumo na kitaasisi ktk kutaka kuiendesha kwa ufanisi ofisi ya kiimla ya Rais.
Bora umwambie!Dude, we Tanzanians are far better than them
Mbona huyo bwana Ana double standards?!!!CCM acheni kulialia na kuweweseka , Jasus mbombezi atagombea urais october 2020, Jiandaeni kupambana naye kwa hoja juu ya
1. Utawala wa sheria na haki za wananchi
2. Maslahi ya Wafanyakazi
3.Udini na ukabila katika serikali ya awamu hii
4. Maslahi ya wakulima
5. Ajira kwa vijanao zilizoota mbawa...
Halafu mbona mh.membe ni mwanadiplomasia mbobezi,hivi kweli anashindwaje kumwelewa Kanali Ngemera Lubinga pale alipomwambia AKITAKA TENA KUWA MWANACHAMA WA CCM AOMBE UPYA UANACHAMA!!CCM acheni kulialia na kuweweseka , Jasus mbombezi atagombea urais october 2020, Jiandaeni kupambana naye kwa hoja juu ya
1. Utawala wa sheria na haki za wananchi
2. Maslahi ya Wafanyakazi
3.Udini na ukabila katika serikali ya awamu hii
4. Maslahi ya wakulima
5. Ajira kwa vijanao zilizoota mbawa...