Anguko la ANC, CCM hamna muda mrefu, anguko lenu halipo mbali

Anguko la ANC, CCM hamna muda mrefu, anguko lenu halipo mbali

South kaifikisha hapo mkaburu na ni kwamba kaikabidhi nchi mwaka 92 yani 32 years ago. Kumbuka wakati anaikabidhi ilikuwa inalingana na kuzizidi baadhi ya nchi za ulaya. Toka kaikabidhi kwa mwafrika imepitwa hata na naadhi ya nchi za afrika kiuchumi. Muda unavyokwenda inazidi kurudi nyuma maana zaidi ya kucheza na kuoa wake wengi hakuna kitu wanafanya cha maana.
South waliweza kuandaa kombe la dunia wenyewe ambapo hata baadhi ya nchi Ulaya lazima waungane, wana train za umeme kitambo sn na mazuri mengi, njoo huku nchi ya laana ya CCM utachoka kabisa, maza kutwa anazunguka kupewa PhD huku mfumo wa bei ukipaa na ufukara ukitamalaki.
 
Hata ANC hawakuamini hiyo kitu , maisha yanavyokwenda CCM ijiandae na Serikali ya MSETO ni suala la muda
Mkuu mara ngapi CCM iwe kwenye serikali ya mseto???

Kwani serikali ya Zanzibar sio ya CCM???

Sio ya mseto hii??

Sema mseto kwa huku Tanganyika, na huku Tanganyika Lowasa alizingua tu mwaka 2015,ingekuwa tayari!!!
 
waafrika bado ni shida. CCM ilichoweza kuongeza umaskini na njaa ili mbaki kuwanyenyekea mpaka kufa kwenu
 
Wizi, hujuma na ulaghai ndio unailinda tu CCM tofauti na hapo wasingekuwepo kabisa leo!
Tukumbuke 1995 na 2025
 
Attachments

  • IMG-20240608-WA0053.jpg
    IMG-20240608-WA0053.jpg
    53 KB · Views: 5
ANC na CCM ni vyama tofauti tangu kuanzishwa kwake , mazingira na siasa zake.
Hata hivyo, CCM lazima irudi kutazama hali za maisha ya wenyeji walio wengi katika kushika hatamu za uchumi na siasa ambalo ndilo lengo kuu la vyama vinavyopigania Uhuru.
Ubaya wa mkoloni haukuwa rangi au sura.
Lazima wananchi wafundishwe sera na utekelezaji waelewe na kuziunga mkono badala ya kujigalagaza kwenye vumbi na kupiga maombi.
Tujenge fikra chanya kwa wananchi hata kwa gharama ya kupungua kura kwa muda. Huo utakuwa ushindi kulingana na malengo ya kumkomboa mwafrika dhidi ya utumwa na ukoloni mamboleo.
 
CCM inatakiwa ichukiwe na kila mtu kwa haya mambo ya hovyo
Nashangaa walisema Ujinga ndio adui wa taifa. Ukweli adui wa taifa ni CCM na kwa yoyote Mtanzania mwenye rational mind , kila mwana CCM achukiwe na familia zetu zifahamishwe kuwa adui namba moja wa TAIFA ni CCM ndio chanzo cha maradhi, Ujinga na umasikini na CCM apigwe vita

yoyote
Ambaezyupo upande wa CCM apigwe vita. Adui wa CCM NDIO rafiki wa watanzania.

Nchi utasema imepata uhuru jana, kila mahali barabara zinajengwa, mtaona mirad ya ujenzi wa barabara imeongezeka, ndugu yangu huo sio ujenzi wa kawaida, ninamna ya kujustify upigaji na kuchepusha fedha kwa kampeni .

Tofali la 1000 serikal itanunua 5000, hiko cha juu kinaingia kwa wahuni I kwa ajili ya uchaguzi

Tatizo kubwa la Tanzania ni CCM , CCM ni Chanzo cha Ujinga maradhi ´na umasikini
 
Mkuu mara ngapi CCM iwe kwenye serikali ya mseto???

Kwani serikali ya Zanzibar sio ya CCM???

Sio ya mseto hii??

Sema mseto kwa huku Tanganyika, na huku Tanganyika Lowasa alizingua tu mwaka 2015,ingekuwa tayari!!!
Bado bara
 
CCM haipo mbali na huu ukweli, wataanza kuform serikali ya mseto kisha itaondolewa madarakani.

Moja ya matamanio ya Wa TZ ni CCM kuanguka.

CCM has proven failures kwenye kila sekta, na for as long as CCM itakuwa madarakani, TZ haitoweza kuendelea kamwe.

Samia hawezi kulaumiwa kwa kutokuwa rais sahihi, ni zao la JPM, na JPM hawezi kulaumiwa kwa kutokuwa rais sahihi, ni zao la JK , na JK hawezi kulaumiwa kwa kutokuwa rais sahihi, ni zao la Ben, na Ben hawezi kulaumiwa kwa kutokuwa rais sahihi, ni zao la Mwinyi na mwinyi hawezi kulaumiwa kwa kutokuwa rais sahihi ni zao na JKN. Hapa ndio shida ilipoanzia, why do we even call Nyerere baba taifa, katiba gani hadi apewe hiyo heshima !!!

The only solution to liberate Tanzania from the SIN of CCM ni kuondoa regime nzima ya CCM na kungo’foa roots zake zote na hii liende sambamba na kukata wabunge wa CCM wote kwenye kura.

ndani ya CCM tumefikia hatua ya kuwa na STD 7 failures wabunge wanaoenda kutengeneza sera za miaka 100 ijayo, aibu sana kama taifa.

2025 ni lazima Tanzania tuingie kwenye SERIKALI ya MSETO , 2030 ni Lazima CCM regime ichomolewe completely. Watoto wa viongozi with very low IQ ndio wanakuwa decision makers kwenye welfare ya nchi.
utabiri huu pengine unaweza kuwa kweli ikiwa tu ccm ingekuwa haina watu wenye kufikiri vema,lakini kwa sababu ANC imeshapata shida na CCM Ikashuhidia kitakachofuata hapa ni CCM kufuatilia kujifunza pale ambapo ANC ilikosea basi na Ccm ifanye marekebisho ili iendelee kubakia madarakani kwa muda mrefu.
 
Nashangaa walisema Ujinga ndio adui wa taifa. Ukweli adui wa taifa ni CCM na kwa yoyote Mtanzania mwenye rational mind , kila mwana CCM achukiwe na familia zetu zifahamishwe kuwa adui namba moja wa TAIFA ni CCM ndio chanzo cha maradhi, Ujinga na umasikini na CCM apigwe vita

yoyote
Ambaezyupo upande wa CCM apigwe vita. Adui wa CCM NDIO rafiki wa watanzania.

Nchi utasema imepata uhuru jana, kila mahali barabara zinajengwa, mtaona mirad ya ujenzi wa barabara imeongezeka, ndugu yangu huo sio ujenzi wa kawaida, ninamna ya kujustify upigaji na kuchepusha fedha kwa kampeni .

Tofali la 1000 serikal itanunua 5000, hiko cha juu kinaingia kwa wahuni I kwa ajili ya uchaguzi

Tatizo kubwa la Tanzania ni CCM , CCM ni Chanzo cha Ujinga maradhi ´na umasikini
CCM ni chukizo mbele za MUNGU
 
CCM ni Chukizo mbele ya Mungu, CCM ni laana , CCM ni chanzo cha Maradhi Umaskini na ujinga kwenye TAIFA, CCM ni adui namba moja wa TAIFA kwa yeyote mwenye akili timamu
 
Back
Top Bottom