Anguko kubwa linakuja Oktoba

Anguko kubwa linakuja Oktoba

gwamaka aswile

Senior Member
Joined
Mar 26, 2015
Posts
186
Reaction score
106
Tarehe 26/10/2015 tutashuhudia anguko kubwa sana la vyama vinavyounda umoja wa katiba ya wananchi (ukawa) anguko hilo litasababishwa na vitu vingi lakini kubwa litasababishwa na kiburi (arrogance) arogance ya kutokukubali ushauri wa watu influential ndani ya ukawa yaani lipumba na slaa. Angusho hilo litasababishwa na kuamini sana katika nguvu ya mtu mmoja ambaye ana madhaifu karibu elfu moja.

Hili litakuwa ni anguko la karne lakini litawaathiri zaidi chadema. Ukawa wasichokijua ni kuwa kampeni zinazoendeshwa na jinius magufuli ni za kisayansi. Wanakurupuka kutumia ela nyingi kutengeneza matukio. Lakini pigo watakalopata litaathiri afya za mamia. Vyama sita kwa mara moja vitapigwa vibaya mno! Na baada ya hapo tutashuhudia chama kipya kikiibuka na kuwa na nguvu.

Tusubiri wakati!
 
Mtoa post kavurugwa huyo. CCM, ACT, ADC, SAU, CHAUMMA, CHAUSTA, CCK, JAHAZI ASILIA, UDP, TLP na CCM ndio vyama ambavyo havitakuwa vina-exist hyo tarehe.
 
acheni ujinga chadema ni chama cha watu makini hata lowasa akiahindwa wabunge wake watakua weng na pia upepo wa siasa kwa sasa bado mapema kujua mshindi hadi kampeni. zianze Hanna anayejua ukawa wamejipangaje au ccm tukae kimya gemu lianze ndio mpango
 
Na ata CCM wakibaki madakani watajifunza mengi sana watakuwa wametambua nchi hii sio yao niyawatz
 
gwamaka aswile

Wewe ni nani haswa? Mwaka wa 2015 ni tofauti sana na sasa ubiri matokeo. Issue hapa ni kuiondoa hiyo kupe madarakani tu hata akiwekwa jiwe atapita tu. Tumeshateseka sana. Hakuna anayesikiliza vitisho tena. Period. Sisi ndiyo tuko mitaani na tunajua yaliyopo huko. Yaani subiri hiyo tarehe ya kihistoria tu. Andaa maji ya kunywa.
 
Last edited by a moderator:
gwamaka aswile

Una uhakika gani mkuu?? Hii ni nchi ya kidemokrasia. Wewe ni nani hata useme ni lazima ushinde? Hii nchi ni yako peke yako wewe kunguru wa kijani na manjano?? Damn fool!!
 
Back
Top Bottom