R.B
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 6,296
- 2,575
Shirika mama au tanzu ambalo ndo roho ya uchumi wa nchi ; wafanyakazi zaidi 200 wameandika barua za kuacha kazi wakidai wapewe chao; ili waunge mkono awamu ya rais wa nne - kilimo kwanza.
Sababu kuu ni mteule wa jpm (Magufuli) ambaye ndo mkurugenzi wa shirika.
Baada ya kudodosa wafanyakazi kwanini massive turn over ; wakatupa sababu hizi.
1. Kaja na mpango wa kudimote wafanyakazi . mpaka sasa zaidi ya wafanyakazi 4o Wameshushwa vyeo; zikiwepo sababu mbalimbali. wengi wao ni mameneja na statrtegigy people, madhara ya kuwa demoted kwa umri mkubwa kuanzia miaka 49- 55.
· Mshara unapungua, na mafao ya mifuko ya jamii yanapungua unalipwa kwa slip 3 za mwisho ;
· Mafao ya kustaafu unalipwa kutokana na slip 3 za mwisho ; automatically mafao ni kidogo
· Hata stahiki za kustaafu zinakuwa ndogo, usafiri wa mizigo na mafao mengine kwani calculation based on salalry slip.
2. Muundo mpya alionao Mteule wa JPM ambao anataka kuanzisha mwezi wa 8-12, Nafasi za juu sifa kuu ni kuwa Doctor na Master's ; Level hii ya elimu wakuu wa shirika mama hawana, kwani serikali ilikuwa imelitelekeza. kwa hiyo wameambiwa kwa muda wa miezi 3 wawe wameshawasilisha vyeti vya master na doctor kama wanataka kuodhi nafasi hizo la sivyo watapewa nafasi kutokana na elimu zao, Kutokana na sababu hii wengi wao baada ya kupiga hesabu wengi wao wameomba kustaafu ili wapate pesa za kutosha kutokana na ngazi za mshahara wa sasa, wengi wao ni four four watapata stahiki ndogo kama watafuata mshahra wa ngazi zao;
3. Lugha za vitisho anazowatolea aliowakuta kuwa wezi , wavivu, hawana elimu ; akisahahu mashirika makubwa ina idadi kubwa ya wagojwa wa sukari na pressure.
4. Mteule wa JPM , tunasikia kazuia wafanyakazi kukopa benki zaidi ya miezi 5 mpaka sasa, wafanyakazi wengi wamekosa kuwalipia ada za watoto, ada za kujisomesha vyuo , kusimamisha ujenzi na kuwaongezea mzigo wa madeni mitaani '' mfanyakazi''
5. Mteule wa JPM Kafunga huduma za CANTEEN za shirika na kufanya wafanyakazi kushinda njaa wengi wao wagojwa wa pressure na moyo na ancerzi , wanatakiwa kupata special diet ; kazuia kununua maji ya kunywa kwenye maofisi .
6. Mteule ; ameamua makusudu kupingana na sheria ya bunge inayoongoza shirika kwa kugoma kujaza nafasi muhimu na kazi zote kuzifanya yeye, Pia tumejuzwa kuwa ata muundo mpya wa shirika kafunja sheri kwa kuondoa mamlaka ya nafasi kubwa katika sheria hizo kwa kuongeza nafasi zake na kuondoa nafasi zinazotajwa kwenye sheria ya bunge
7. Hataki kufanya kazi na watumishi , kaja na wakurugenzi wakeh ataki kutanganza kazi ndani ya shirika anaamini watu wa eneno alillokuwepo , Ingawa shirika imesheheni wasomi kibao; na kuna tetesi ya fitna watu washirika walioomba kazi hivi karibuni kuondolewa kwenye selection ya mchujo wa kazi wa AJIRA PORTAL