Angry Rafael Benitez says he will leave Chelsea in May 2013

Angry Rafael Benitez says he will leave Chelsea in May 2013

he is already the manager..that history should be put to rest for the good of the team. Beef baadae, sahivi inabidi wamsupport jamaa.

History should be put to rest? In football, history matters a lot.

Ndo maana Liverpool sijui mara ya mwisho kushinda ligi ilikuwa lini lakini leo wanajivunia historia yao.

Yes, he is already the manager, but it is funny that he declared he will never be Chelsea manager. Hypocrisy ?
 
Unakumbuka alienda Inter Milan akatimuliwa pia,lakini nadhani safari hii atapata timu na kutulia

Nakumbuka sana.
Chelsea kimenuka, aondoke tu. Kuna mtu aliweka cmparison table ya turnover ya makocha wa Chelsea na Arsenal, kwamba Arsenal ikiwa na kocha mmoja kwa miaka zaidi ya 10 Chelsea ilishabadili makocha kama sita hivi kwa muda huo huo. Sijajua ile thread iko wapi!
 
Kama kubadilisha makocha kunakupa ubingwa wa ligi, champions league, FA cup na mengine then why not? Kuliko kuwa na kocha ambaye kwa miaka 8 hajashinda hata kombe la ligi.
 
Tenda wema uende zako usingoje shukurani.
 
Back
Top Bottom