Angola warusha Satellite ya kwanza


Utawezaje kurusha satellite wakati hauna uhakikia maji na umeme. Sisi tupambane kwanza na kupunguza ujinga, maradhi.
 
Mkuu, unawaona wenzako wajinga, huku wewe mwenyewe unaonekana kilaza wa kiwango cha kibwetele. hujui hata matumizi ya 'R' na 'L'...sijui mitihani ya form 2 na 4 ulifauluje!? kurusha satellite kuna faida zake nyingi kwa jamii. kwa mfano, nchi kama Mauritius ina GDP ya 12.16 Billion dollars wakati TZ kiwango cha GDP NI 47.43 billion USD. lakini jiulize kwa nini sisi haturushi satellite wakati ka nchi kadogo kama Mauritius wanayo tayari? kwa kifupi, hakuna utashi wa kisiasa coz akili za viongozi wa kitanzania ni kama zako through y'r opinion above.
 

TAHARIFA[emoji808]️[emoji808]️[emoji808]️[emoji808]️[emoji808]️[emoji808]️
TAARIFA [emoji818]️[emoji818]️[emoji818]️[emoji818]️[emoji818]️[emoji818]️

Na kweli sio level zako kajifunze kiswahili ndio tutajenga vyoo vya shule
 
"Iliyojengwa nchini urusi" nilipofika hapo nikaacha kuendelea kusoma.
 
Ngoja tuuwe upinzani kwanza tukimaliza huenda tukachek suala hilo maana ya mungu mengi,wasitupangie ya kufanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…