Angola is broke, President finally confesses

Angola is broke, President finally confesses

Tatizo tunaongea sana lakini matendo zero. Saudia na nchi zingine wataeleweka maana kwao jangwa, sasa hawa Angola walisubiri nini kabla ya kufanya diversification. Utegemezi wa mafuta ni hatari, lazima ubuni mbinu zingine za kupata mapato kama nchi na hufai kusubiri miaka mingi halafu baadaye unaambia watu nchi haina kitu.
Saudi Arabia wanavyosema wanabana matumizi lazima uelewe wana budget ya Billion 87$ sasa wao wanamatumizi makubwa hata wakikata ni bado wana pesa na wana reserve almost 800 Billion$ na pia kama ulisikia kwenye news wana pesa nyingi sana invested in USA. Sasa ukija huku Africa kama Angola vipi hawana pesa and Nigeria hata mishahara matatizo. nchi za ME wao walikuwa wanawekeza katika miradi tofauti pesa za mafuta. Ni sawa na Tz toka tumeanza kutoa madini je tunajuwa pesa hizo zimeenda wapi? tutakuja kubakiziwa mashimo tu hakuna investment yoyote.
 
Viongozi wa Africa sijui ni nani kawaloga.Juzi tu hapa kamteua mtoto wake kua waziri leo anasimama kusema nchi inefilisika wakati mtoto wake ni bilionea?
 
Viongozi wa Africa sijui ni nani kawaloga.Juzi tu hapa kamteua mtoto wake kua waziri leo anasimama kusema nchi inefilisika wakati mtoto wake ni bilionea?
Halafu wakikutana huko AU kazi kulia tu wanaonewa na wazungu, kuonewa au hawataki ukweli. Hakuna kiongozi akanyosha kidole hivi sio sawa maana wote wanazidiana dhambi tu au wanafanana. hiyo South Africa washukuru tu wazungu waliwajengea na mzee Mandela akaweka hali shwari kuongoza kwa mfano ndio maana wameweza kuwa bado wajo fresh. Kule Zimbabwe walikuwa wapi na sasa wako wapi yaani fedheha tupu.
 
yaani AU inakuwa kama secret society ya wezi. akishuka fisadi Zuma anapanda mwizi Santos, akishuka Nguema, anapanda Mugabe, huku Museveni, Kabila, Nkurunzinza,Kagame na Bashir wakijiandaa. mbaya zaidi badala ya kuongea ishu za maana wanazungumzzzia ICJ na impractical issues. ila halli ya mafuta ikiendelea hivi lazima kati ya Angola, Nigeria au Venezuela kitanuka.
 
Angola badala ya kutumia pesa za mafuta kudiversify uchumi, wakazilia bata na kujenga maghorofa Luanda!. Muongo alisema pesa za gesi zitatumika kujenga kilimo cha kisasa. tunasubiri.
 
Back
Top Bottom