ZionTZ
JF-Expert Member
- Oct 6, 2009
- 1,282
- 541
- salam ziwafikie wakuu, wadau wa sports hivi huyu coach wa Nigeria anamatatizo gani? unajua sijamuelewa kabisa alikua anamaanisha nini kumtoa obi na kumuingiza kanu, yani of all players anamwingiza huyu mzee wakati speed ya misri inaeleweka...?? haikuishia hapo kulikua na huyu yakub alikua hafanyi kitu pale mbele lakini cha ajabu wakina odemwinge na obafemi martins wakawa bench kwanzia mechi inaanza mpaka mwisho....
- hivi alikua anawapima misri au?? yani ukiangalia ball possesion walikua wanaongoza nigeria lakini hamna goli, af yeye kakaa tu kama kawekewa gundi.....nimechukia sana kwakweli....
ile mechi ilikua 9ja washinde kabisa, namkubali yele obaso(aliefunga goli) dogo ni mkali, level zake ni za barca...lazima tumchukue yule bwa mdogo....anastamina ya hatari af yupo makini sana...