Angola 2010: Africa Cup of Nations updates

sijui huyu kipa wa Nigeria alitoka kwenye lango lake kutafuta nini!!
Mpira wa ajabu.. yaani ilikuwa ni wanageria tu wakati wote..ghafla wamisri wakasawazisha
 
Huyu golikipa wa Nigeria mapepe sana utadhani Shabani Dihile yule wa Makisimo
 
Mpira Nigeria dakika 55 Nigeria 2 Egypt 1.

Wakuu hii ilikua prediksheni yangu ina
maanisha: Nigeria itaanza kupata goli la kwanza dk 55, na watashinda mechi kwa goli 2 kwa 1 dhidi ya Egypt.

Ni hayo tu.
 
Teh teh tih hao bado hujatupata jaribu tena baadaye
 
Kama kocha wao alivyosema hii defence ya Nigeria mi mbofu mbofu mno.
 
Na kweli Nigeria hamna beki...

Egypt 3 Nigeria 1...

Mbona wakilishi wa Africa kwenye world cup wanatisha namna hii....watafika mbali kweli hawa...?
 
Hawa Nigeria kwishineh kabisa, Sasa wajikite tu kwenye kuzalisha magaidi. Nigeria sucks
 
balaa kubwa kwa wawakilishi wa Afrika kwenye kombe la dunia.

Tuwasubiri Cameroon kesho tuone na wao watafanya nini.

Mana Algeria - Ivory Coast na Nigeria tumeshawaona tayari.....
 
Nigeria walikuwa na uwezo mkubwa sana wa kushinda hii mechi tatizo lao tokea 1994 world cup wanajifanya brasil na kuleta ubishoo kwenye mashindano makubwa. Ukiangalia kipindi cha kwanza Nigeria walikuwa wapo fit kila idara ila akili zao hazipo kwenye ushindi bali ni show up. Nafikiri kipigo hiki kitawaamsha kuwa haya ni mashindano na kila alikwenda Angola amekwenda kushinda.

Wapuuzi sana hawa wapopo wamewapa Misri ushindi wa chee kwa kutokuwa kwao na Ari. Wakipata mpira wancheza kama hawataki vile na wao ndiyo wanaongoza kumbe wapo nyuma.
 
Very true, Nigeria wana classic and superstars players lakini hawana timu bora, Misri hawana talents kama Nigeria lakini wana timu bora. Hiyo ndiyo tofauti ninayoiona.
 
Nigeria walikuwa na uwezo mkubwa sana wa kushinda hii mechi tatizo lao tokea 1994 world cup wanajifanya brasil na kuleta ubishoo kwenye mashindano makubwa. Ukiangalia kipindi cha kwanza Nigeria walikuwa wapo fit kila idara ila akili zao hazipo kwenye ushindi bali ni show up. Nafikiri kipigo hiki kitawaamsha kuwa haya ni mashindano na kila alikwenda Angola amekwenda kushinda.

Wapuuzi sana hawa wapopo wamewapa Misri ushindi wa chee kwa kutokuwa kwao na Ari. Wakipata mpira wancheza kama hawataki vile na wao ndiyo wanaongoza kumbe wapo nyuma.

Mkuu Hofstede,

Uko sahihi kabisa, Nigeria wameleta ubishoo mwingi.... wacha wafungwe ili wapate akili,
 
Back
Top Bottom