Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,643
- 164,789
Muda utaonyesha malofa ni kina nani na tukianza kuwasuta msilaumu sisi sio wazelendo.Lofaa
Muda utaonyesha malofa ni kina nani na tukianza kuwasuta msilaumu sisi sio wazelendo.Lofaa
Kama umesoma vizuri article usingeweka neno madini yetu. Kwa mujibu wa MDA waliyosaini madini ni yao hivyo wanaenda kushtaki ili kupata ufafanuzi wa namna gani sheria mpya itaathiri uwekezaji wao.
Eti wanasema walitusaidia kufanya uwekezaji wakati Tanzania hata haijulikani duh. Wazungu Mungu anawaona, hata kama mliingia mikataba kwa kutulalia kwa nini hamtaki kubadilika sasa hivi tumeishabumbuluka?
Wacha tusubiri.Huu mchezo tulio wengi tunabaki kuwa watazamaji tu. Wengine wakishangilia huku wengine kule. Mi ngoja niendelee kusubiri dakika tisini za mchezo.
Wacha kutisha nyau!!! Wewe hata jina lako halisi umeficha badala yake unatumia la bandia hapa halafu unasubutu kutoa vitisho au nyie ndio wale mnaongea kwa nafsi za wengine!!Shauri yenu but the big question is the Longest JPM can be in power is 10 years vinginevyo hapa kitanuka kinoma!
Ni kweli kama mtu hujui uongee nini ni bora kukaa kimya Kwani hutahesabiwa mpumbavu kwa kukaa kimyaHujui uliongealo wewe
Yaani humuamini mpaka prof kabudi!! Wise wewe ni chumvi kweliTutashitakiwa sana mwaka huu. Sina uhakika kama tunao wanasheria mahiri wa kuweza kupambana na kupangua hii mikataba ya kimataifa tuliyoiingia kichwa kichwa na sasa tunajaribu kubadili gia angani.
Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app