Angetumia njia gani kujiridhisha!

Angetumia njia gani kujiridhisha!

BOMBAY

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2014
Posts
4,744
Reaction score
3,546
Hali ya hewa ikiwa tulivu ktk jiji la dar,kiubarid kwa mbaali.Mara hisia za kugegedana zinanijia,nikaona isiwe kesi acha nim call mamito mida ya jion aje anitulize kidogo.Nime mcall mtt karespond vizuri tu na tukapanga jion atunge kijisafari ili aje kunipa raha za dunia.Jion ndo hii ishafika nika mcall mtt akasema anajianda na baada kama ya nusu saa atatia maguu pande zetu za kujidai.Chaajabu mpaka sasa ni zaid ya masaa ma3 yameshapita na mtoto hajatokea na nikimcall anasema anakuja,Nime fanya udadis nikagundua kumbe kabanwa na dada yake waondoke wote ila anaogopa kuniambia kwakuhofia naweza kumgobeza kwakunipotezea muda.SWALI JE,HALI KAMA HII INGEMTOKEA WANACHAMA WA MATUMIZI YA MADAWA YA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME AMBAO NASIKIA HUWA WANATUMIA DAWA MUDA MFUP KABLA YA MECHI WANGETUMIA NJIA GANI KUJIRIDHISHA?HASWA UKIZINGATIA MAENEO KAMA HAYA YAKWETU NI VIGUMU KUMPATA WA FASTER FASTER?MAANA MIMI AMBAE CJATUMIA KITU CHOCHOTE ZAID YA CHAKULA NIPO VIBAYA KWAJINSI NILIVYOKUWA NIMEIPANIA PAPUCHI,JE MWANACHAMA ANGEKUAJE?
 
JF sasa siku hizi ni shida sana!
 
Isije kuwa wewe umeshatumia madawa tayari ila unataka kujua hali itakuaje itakapotokea mtoto kuchelewa au hakutokea.

Subiri wataalam wakusaidie, ila siku nyingine kuwa muwazi funguka tu haina haja ya kutolea mfano
 
JamiiForums iwe kuna malipo ya kila mwezi ili mtumiaji awe na uwezo wa kuweka post/thread yake.
 
Rais wetu alijibu hata yeye hajui kwanini nchi yetu ni maskini sana.
 
Hali ya hewa ikiwa tulivu ktk jiji la dar,kiubarid kwa mbaali.Mara hisia za kugegedana zinanijia,nikaona isiwe kesi acha nim call mamito mida ya jion aje anitulize kidogo.Nime mcall mtt karespond vizuri tu na tukapanga jion atunge kijisafari ili aje kunipa raha za dunia.Jion ndo hii ishafika nika mcall mtt akasema anajianda na baada kama ya nusu saa atatia maguu pande zetu za kujidai.Chaajabu mpaka sasa ni zaid ya masaa ma3 yameshapita na mtoto hajatokea na nikimcall anasema anakuja,Nime fanya udadis nikagundua kumbe kabanwa na dada yake waondoke wote ila anaogopa kuniambia kwakuhofia naweza kumgobeza kwakunipotezea muda.SWALI JE,HALI KAMA HII INGEMTOKEA WANACHAMA WA MATUMIZI YA MADAWA YA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME AMBAO NASIKIA HUWA WANATUMIA DAWA MUDA MFUP KABLA YA MECHI WANGETUMIA NJIA GANI KUJIRIDHISHA?HASWA UKIZINGATIA MAENEO KAMA HAYA YAKWETU NI VIGUMU KUMPATA WA FASTER FASTER?MAANA MIMI AMBAE CJATUMIA KITU CHOCHOTE ZAID YA CHAKULA NIPO VIBAYA KWAJINSI NILIVYOKUWA NIMEIPANIA PAPUCHI,JE MWANACHAMA ANGEKUAJE?

What is this?
 
watu mkishavulugwa mnakuja kupost ujinga
 
Kijana enzi zangu nilikua nikiita my girlfriend japo ananiambia atakuja au anakuja muda si mrefu huwa sijiwekei asilimia zote, tho nakua nimejiandaa kama kununua zana. Ikitokea amekuja fresh ikitokea kazama mitini nakua nimeshajiandaa kisaikolojia. Ili nitokeaga miaka kadhaa iliyopita nimepanga na mchumba aje gesti flani toka saa 6 mchana, me nkachukua chumba namsubiria naona kimya afu ananiambia yuko kwenye foleni hadi anafika saa 10 jioni hamu imeisha.
 
Duh kazi kwelkweli

Back
Top Bottom