Sasa ndugu,angel numbers zimekuwepo karne na karne. Na sio big issue sana.
Mfano kila mara ukisajili simu, unakutana na sequence za naamba mfano 9899 au 9998, au 07832230..... 07831234 yaani ww maishani mwako, kuna namba huwa hujirudia kwenye matukio.
Mfano, mara nyingi ukianngalia saa unakuta 11:15 kesho hivo hivo. Angel numbers ni namba zinazojirudia mara kwa mara kwenye uwepo wako. Na hizi jaswa huwa zinaakisi mambo yako ya kila siku.
Haswa kwa saa. Kwenye namba za simu, au traffic light kila ukikaribia unakuta sekunde flani. Zenyewe huwa zinajirudia
Inaweza isiwe maara nyingi sana ila ni mara nyingi kiasi unaktana na namba hizo.
Umenunua vocha ina 9998, umenunua gari ina 999, umenunua kitu bili inakuja 109,990, umefika kwenye traffic lights unakuta sekunde 98.
Yaani tunamba flani huwa tunajirudia ndio angel numbers, watu wakaona wazitambue, ila there is no big issue about them ila fikra. Tu zako.
Soma sana, Fanya kazi,juana na watu. Kuna miasha