Angekuwa ndiyo Lowassa...

Anybody else will have always constituted a lesser evil.
Muda huu, Rosti angekuwa ndiyo de facto President!
 
Ndio ujue kwamba watu wanaompinga JPM ni mamburula wanywa viroba!
 
Swali ibuka ni je, watu wanaompinga rais Magufuli sasa hivi, pia wangempinga Lowassa kama angekuwa ndo yeye anayafanya hayo anayoyafanya Magufuli?
Kama angekuwa LOWASA angetenda tofauti na yanayotendeka sasa na bado wangepigakelele pale amdapo raia wangeona hapako sawa KELELE hazipigwi kwa kuwa niyeye sababu kuu ni pale raia wanapoona kuna jambo haliko sawa
 
 
Lowassa asingefanya huo upuuzi, angefanya mambo ya msingi!

Lowasa angefanya yapi hayo ya msingi? Na gharama zilizofadhili kampeni zake angelipaje? usiniulize sasa analipaje maana kelele za fedha zimetea ni sehemu ya malalamiko ya w alioota ndoto ya kufaidi
 
Wanaokufa kwa kukosa madawa mahospitalini unawashauri wakapande bombadier ndio wapone? ndio kafanya yote hayo, mbona ahueni ya life haipo? mbona bado wanafunzi wanaendelea kukosa mikopo na alisema hataki kusikia hizi taarifa za wanafunzi kukosa mikopo? kuna mifano mingi tu hai

punguza mahaba na chama weka maslahi ya taifa mbele
 
Unafikiri kwa "masaburi" wewe sio bure!
 
Nginana,
Well said mkuu. Ndio maana nikasema inachofanya serikali ya awamu hii ingetakiwa kiwekwe kwenye system badala ya hii mihemko ya kila kukicha.

Naomba mfano mmoja wa mhemuko uliofanywa na huu awamu ambacho kilipaswa kuwekwa kwenye system
 

Mkuu, Ilani ya Ukawa ilikuwa ni ;
ELIMU
ELIMU
ELIMU.

Anzia hapo, kisha andika upya hoja.
 

interesting...
 

Tutazungumziaje kitu ambacho hakipo kwa sbb Lowassa siyo Rais, siyo Magufuli.

Rais ni Magufuli wa CCM na huyo ndiye anayetenda na ndiye anayepaswa kujadiliwa kwa vyovyote vile.

Sawa na kusema wewe Nyani Ngabu (ambaye ni mwanaume, I guess). Useme....ningekuwa mwanamke, ninge.........

Kitu ambacho hakiwezi kutokea ukawa mwanamke. Kwa hiyo kuanza kujadili uanamke wako (ambao hauna) na wakati wewe ni mwanaume ni kupoteza muda!!
 
maswali ya kishoga hayo
 
Kabla atujaenda mbele hebu thibisha huo utukufu wake
 
Uo mfano hauwezekani Kwa white hair Angekuaa meitafuna nchi yote kwa Wizi.Paka hapewi kazi ya Kalinda samaki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…