Ange Kagame Aolewa

Naona jamaa kwny familia yake yeye ndiye mbegu fupi(andunje).

Duh kweli wanyarwanda ni warefu,yaani pamoja na mimi kumwona Kagame ni mrefu kumbe madogo karibia wote wamempita??
 
Aisee..hongera sana.
Dogo kakupita
Nna futi 6.1 sina hakika km ananizidi bwana harusi. Sema nimeoa miaka 21 iliyopita. Mke pia ana futi 5.4. Mtoto wangu wa kwanza mwenye miaka 20 kasoro,kwa sasa ananizidi urefu!
 
Nna futi 6.1 sina hakika km ananizidi bwana harusi. Sema nimeoa miaka 21 iliyopita. Mke pia ana futi 5.4. Mtoto wangu wa kwanza mwenye miaka 20 kasoro,kwa sasa ananizidi urefu!

Mbna umeoa mbegu fupi jamaa
 
Hivi Hawa watu wanalala kitanda size ipi? 6*6 haiwatoshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…