mangelengele
JF-Expert Member
- Nov 4, 2014
- 1,293
- 1,102
Ndo hilo alilonalo, we unaliona dogo? Unaona sawa na wewe umeoa mtoto wa muuza samakiMnawapa thamani wasiyokuwa nayo. Huyo binti wa kagame sijaona lolote la ajabu alilonalo, labda kuzaliwa Ikulu.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Picha sina mkuu. Nilionaga moja tu.
Yeah ana keep low profile, kuna kaka yake sijui mdogo wake aliweka video snap chat anamwaga hela naskia jiwe alimtandika vibaya mno
Sent using Jamii Forums mobile app
Chinga ataonekana kitukoHio familia ikisimama na Mkapa sijui inakuaje aisee.
Hebu iweke hapa tuioneKwa kweli kwny kutumia mkwere hajawahi kua na noma na watoto wake.
Niliona interview ya watoto wa Balozi Mahiga aisee wale watoto hawajui kiswahili kabisaa wakianza kukutajia Suti za dingi yao na ma designer anazopendelea kuvaa mdingi + nguo za hao watoto ndipo utajua kwanini sisi wengine tunaitwa watoto wa wanyonge aisee.
Kazi kusifiasifia wanawake!
Mkuu ulipiga niniMnawapa thamani wasiyokuwa nayo. Huyo binti wa kagame sijaona lolote la ajabu alilonalo, labda kuzaliwa Ikulu.
Sent using Jamii Forums mobile app
kigezo cha urefu tu Kagame ange-terminate VISA na Work permit yake papo hapoIna maana AY hakumuona huyu wakati anarusha rusha ndoano zake pale Chigali...
kigezo cha urefu tu Kagame ange-terminate VISA na Work permit yake papo hapo
teh teh tehkigezo cha urefu tu Kagame ange-terminate VISA na Work permit yake papo hapo