Ange Kagame aolewa

Kagame angeunga mkono juhudi za wahutu kwa kumuozesha binti yake mhutu ingekuwa poa sana...but wait he could a rat in the house na Kagame can't make such a first class sill mistake

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuh...! Yaani Wahutu wangetafuna hako kabinti mchana kweupe mkuu. Na ndio ingekuwa mwanzo wa umwagaji damu wa nguvu humo. Kagame mwenyewe anajua. Bado wana hasira wale watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida ya hizo familia za ki Africa unaweza kugeuzwa msukule tu,maamuzi khs mkeo utashangaa familia ya mkeo ndio inayatoa badala yako.
 
Vip kuhusu social life ya huko. Ww kma mtz walikuwa wanakuchuliaje.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ilikuwa baada ya genocide hivyo kila mtu anayeongea kiswahili aliitwa waliorudi. Mpaka ujieleze kuwa wewe ni mTZ wa damu. Otherwise life was normal kwa wale Anglophone ila kwa Frank-phone ilikuwa shida sana. Wale walikuwa na dharau hata ukienda kulipa bill ukiwakuta hao unajiju. Nashukuru Kagame alilazimisha lazima English iwe moja ya lugha za kiutawala.
 
Stop being a wackass and get urself a degree in M.I.T
Her hubby Billy Ndengeyingoma, a Massachusetts Institute of Technology (MIT) He is currently a PhD Candidate at the London School of Economics and Political Science

READERS ARE LEADERS
cc
VITABU
 
Chalii asishangae akawa ameolewa yeye badala ya kuoa,kila maamuzi lazima yapitie kwa baba mkwe kwanza.
Hiyo lazima!! Sasa siku apitiwe amtandike Angie kakofi hata ka mapenzi halafu kaume!! Anaozea jela! Si kuwa wanaume walishindwa kumuoa,ila waliogopa kuolewa wao!! Ukimfikiria baba yake unaogopa hata kuomba 'Kipapun'ga'!!
 
Jamaa anapiga papuchi wazee wa miwani wapo uvunguni

Sent from my TECNO K7 using Tapatalk
Hahahaha ni hatari mzee baba na kaunda suti zao, Ningepata hio chance ya kupendwa na Ange walahi ningepiga chini marriage mana apo surveillance kwa msela kila angle ukizingatia ni mtoto kipenzi wa Paka ivo akithurika kidogo efficiency ya mzee wake lazima i drop hapo msela kapekuliwa na vetting ya kutosha mpaka mzee kutoa go ahead si mchezo
 
Stop being a wackass and get urself a degree in M.I.THer hubby Billy Ndengeyingoma, a Massachusetts Institute of Technology (MIT) He is currently a PhD Candidate at the London School of Economics and Political Science

READERS ARE LEADERS
cc
VITABU

Hahahahaaaa

MIT mbona mbali sana mkuu!

Niko kwa babu nafanya yangu nahamishia kidudu cha Billy usoni,basiiiii!

Haiwezekani mtu anakaba fursa zote!

Hahahahaaaa
 

Kwa hii lugha wacha tu nikuFOLLOW Wyatt
Hamna namna
Duh ungetuua wote dunia nzima kisa tu
This pussy?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…