bantu.garage
JF-Expert Member
- Oct 13, 2015
- 1,436
- 503
TBS na TFDA wamekiona hicho kifaa kama kinakidhi matakwa ya...Hapa Kazi Tu, Mtaisoma namba,CCM ni ileile
duh shkamoo mkuu nyilaegenge 😀😀😀Analyse vizuri
Kifaa kinaitwaje, kinafanyaje? Bei zake zipoje
Sio unakuja tu Eti kifaa, then unaweka namba umempa nani salio apige
Bei zetu zimeanzia elfu 60 ,80,100,120 kulingana Na size ya kifaaWabongo bwana!!!
Weka bei hadharani kijana. Au hujiamini na biashara yako?
Ndio maana napenda kwenda super market ambapo bei zipo hadharani sio hawa ambao kila mteja na bei yake.
Inaua wadudu wa aina tofauti hata mjusi akipita hapo hunasa