Usitumie face au finger kufungua simu yako, kwa kweli ukilala na simu ipo karibu ni rahisi kubukuliwa.
Ni hilo tu,inawezekana unaulizwa masuali ambayo yametokana na viashiria vilivyoonekana kwenye simu ,unabaki umejuaje ?
Wewe una iPhone. Wakati nipo A level shuleni nilikuwa na Infinix, kuna dogo alikuwa form four anafungua simu yangu kwa face unlock. Na tunafanana kwa mbali sana hata sio ndugu
Mimi nimeweka fingers na hata ukifanikiwa kufungua hakuna kitu yamuhimu utapata! Kitu cha muhimu siweki wazi na hata nikiweka kwenye simu basi itahitaji more than finger to get it!.. hii dunia ishi na akili yako binafsi fingers password natafsiri zimewekwa kama kurahisisha tu na ndio maana password za typing zipo!
Kumbe na wewe una wasiwasi?
Inascan sura haiscan macho. Japo macho yakiwa wazi ni rahisi sana. Sema tu ikitokea ukajilaza mwenzio anasogeza simu kuscan au anakuvuta vidole
Kumbe na wewe una wasiwasi?
Inascan sura haiscan macho. Japo macho yakiwa wazi ni rahisi sana. Sema tu ikitokea ukajilaza mwenzio anasogeza simu kuscan au anakuvuta vidole
Wewe una iPhone. Wakati nipo A level shuleni nilikuwa na Infinix, kuna dogo alikuwa form four anafungua simu yangu kwa face unlock. Na tunafanana kwa mbali sana hata sio ndugu
Wewe una iPhone. Wakati nipo A level shuleni nilikuwa na Infinix, kuna dogo alikuwa form four anafungua simu yangu kwa face unlock. Na tunafanana kwa mbali sana hata sio ndugu
Sasa hapo sawa. Si umeshaona bila kufumbua haikubali? Jiachie. Usishangae upo usingizini hujui hili wala lile,unashushia kipigo kitakatifu bila kuelewa kuna nini. Ukiuliza,utaambiwa subili kukuche ndo tutawekana sawa