Angalizo kwa wapenzi tulionao

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,208
Reaction score
64,298
Kwa nini tunapenda kulala na watu tusiowajua kiundani?Kwa mfano mwanaume/mwanamke unakutana na mpenzi wako ambaye sio mkeo au mume,kwa bahati mbaya mauti inamkuta akiwa kwako au mkiwa naye nyumba ya kulala wageni/hotelini ,hapo utafanyaje?Tujiepushe na haya mambo wakuu...
 
Mkuu kwenye maisha kama huwezi ku-take risk ndogo ndogo kama hizo basi maisha huta yafaidi..
Watu week ya 2 tuko na mwanachuo wazazi wanajua yuko anakula shule huko chuoni..
ha ha ha ha
 
Watu tunakutana hotelini tunaamua tulale chumba kimoja lodge kingine kile pesa ndo imepotea afu hamjuani.Nyege hazina kujuana ukiona ...vitajuanaga vikinatana hukohuko!
 
wanaume ni wachache wenye tabia za kigentlemen so kwa nisiemjua kabisa uwa namwambia tuonane sehem ya waz ya kawaida mlad pametulia sehem ambayo ibilisi hawez kutupitia mbka tutake wenyewe..awa wanaume wenye uvulana ndani yao wana matatizo sana..wanapenda kulalana mapema au siku ya kwanza..mmoja alinambiaga eti nisimbanie mana ata nimpe mwakani au leo ni kilekile tuu hahaatehteh jaman.
 
Watu tunakutana hotelini tunaamua tulale chumba kimoja lodge kingine kile pesa ndo imepotea afu hamjuani.Nyege hazina kujuana ukiona ...vitajuanaga vikinatana hukohuko!
ha ha ha ha ndio ukubwa huo
 
ha ha ha inabidi tuchukue tu risk,utamu ni muhimu pia
 
Kwahiyo unataka nikipata Demu nimpeleke kwa balozi wa nyumba kumi,kisha nimpeleke kwa mwenyekiti wa serikali za mitaa kisha nimpeleke Rita,nimpitishe na NIDA,ndio nile papuchi!
Acha ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…