Angalizo kwa UKAWA

hizo zipo sana kwa nini wanajisumbua kuaandaa dvd wakati zipo za kutosha whatsaap.......
 

Ka-disuss huu ujinga na familia yako.
 
Kama wamebadilika na wa kanda ya ziwa wamefanyeje,nyie ukawa mna uchaga na ukanda,sasa arysha kilimanjaro,manyara mpigieni huyo mtu wenu kanda ya ziwa tunampigia magufuri tutawanyosha tu si mmeanzisha ukanda nyie?
 
Hana haja ya kusafishwa atapigiwa kura na uchafu wake .....

huo ndio ujinga wa kufikr mlionao... watawapa kura wasiojielewa tu... jana watu tulienda kwa sababu ya maslah... mm nilipopanda changu nikapiga kelele nikasepa vivo hivo kwa bodaboda walivojaziwa mafuta hiyo jana... kama hukupata chako pole... FISAD FISAD TU Hasafishiki
 

Umejikakamua kweli kuandika kisichokuwepo. Daaaaaah.
Hata ndoto hii nayo haitatimia.
Hongera kwa kuota mkuu.
Amka sasa uone uhalisia
 
umejikakamua kweli kuandika kisichokuwepo. Daaaaaah.
Hata ndoto hii nayo haitatimia.
Hongera kwa kuota mkuu.
Amka sasa uone uhalisia

ulipokea ngapi jana; mimi bodaboda yangu nimepata 15000/= hesabu ya tajiri ya wiki

mwenzagu je ;
 

I dont think they would dare do that. Lowassa, wasn't the only one mentioned, many were mentioned including the top leaders of the country. Doing that will be simply digging their own grave and plotting their own down fall.
 
Dont forget ile nadharia ya dead hand kati ya wasoviet na wamarekani mwisho wa siku wameishia kuheshimiana tu kwani walijiona wote ni loser
 

kutanguliza maslahi ndo ufisadi/rushwa wenyewe/yenyewe mpaka huna haki ya kumwita fisadi mwenzio fisadi.....ni heri fisadi mmoja/wachache kuliko kundi la mafisadi ccm....maana ccm sijui nani ambaye hana tuhuma za ufisadi ....uchaguzi wa mwaka huu ni wa kwenda kuchagua fisadi anayeungwa mkono na mafisadi wengi na fisadi mmoja anayeungwa mkono na wengi wasio mafisadi..........
 
tutawaongezea CD/DVD pia za Epa, Escrow, Rada, ili wazirushe kwa pamoja
 

Point !.
 
Kwa utafiti wangu kwa wadada LOWASA 40% za uhandsome boi na magufuli 0.4, NA kura za lowasa zilizo ndani ya CCM 40% Hizo alimia nyingine nitazitoa kesho kwasababu utafiti baado unaendelea
 
ulipokea ngapi jana; mimi bodaboda yangu nimepata 15000/= hesabu ya tajiri ya wiki

mwenzagu je ;

Mi si ndo nilikuwa nimeshika fungu lenu la watu wa boda boda.
Nadhani ushapata jibu niliondoka na ngapi kibindoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…