Angalizo kw makarani wa sensa!!

kakuruvi

JF-Expert Member
Sep 2, 2009
770
256
Chonde chonde makarani wetu wa sensa msifanye uzembe kazini mkapatwa na kilichompata NGOSWE, nawasilisha.
 
Attachments

  • NGOSWE.jpg
    NGOSWE.jpg
    29.4 KB · Views: 164
Tunategemea yatokee. Tazama, sikiliza na soma vyombo vya habari wakati zoezi la sensa. Mchananyiko wa makarani wa sensa unatia mashaka maana wengine wamechukuliwa mitaani kwa vigezo ambavyo mimi na wewe hatuvijui...Serikali imelichukulia suala la sensa kama ni ajira?! Siku moja nilimsikia mkuu wa mkoa wa Dar akisema kila mtanzania angehitaji kupata hiyo hela ya sabuni...
 
Duh, makubwa! vyeo vya kupeana hivi havina maana! watu wangekuwa wanapiga interview ya kuwa mkuu wa mkoa nadhani wengi wangekuwa walewa mataputapu!
 
mimi kwa kweli nimeshajinunulia kondomu zangu kadhaa...(sharti ukitaka uje unihesabie chumbani maana nitakua mgonjwa hoi siku hiyo............)
 
wadau endeleeni kutujuza mambo yaliyojiri katika sensa huko mitaani.
 
Lazima yatakuwepo tu ila si lazima yawe mapenzi related.
Sijui kwa nini wamewatoa walimu?
 
alafu mbona wanahesabu watu kienyeji.Takwimu hizo hazipo kamili mana wengi wataachwa.tanzania yetu hii kila kitu kipo topsy-turvy(no proper organisation)
 
alafu mbona wanahesabu watu kienyeji.Takwimu hizo hazipo kamili mana wengi wataachwa.tanzania yetu hii kila kitu kipo topsy-turvy(no proper organisation)

Kwa jinsi nilivyoona sensa ya mwaka huu italeta takwimu za uongo, yaani itafanikiwa 60%.
 
Kwa jinsi nilivyoona sensa ya mwaka huu italeta takwimu za uongo, yaani itafanikiwa 60%.

yaah mkuu.!nimeliona hilo,wengne hawana uniform kama ilivotarajiwa.Watanzania tunamatatizo hasa sisi maskini..
 
Back
Top Bottom