Muda wa second selection ulishapita kwa maana kwamba kabla ya tarehe ya deadline ambao walikua wamekosa nafasi waliweza kujaza course na chuo kilichokua na nafasi,
hivyo basi kama umefanikiwa kuchaguliwa katika second &first selection uhakika wa kwenda chuo upo wazi,
tofauti ni kwamba first selection hajajua ni chuo kipi ataenda na second selection ameshafahamu chuo atakachokwenda.