ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,013
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] naona umeamua kutuuza kwa bei ya nyanya.Nyinyi nyote ni mashahidi jinsi kijana huyu machachari mwenye kujenga hoja za mashiko jinsi anavyotumainiwa na CCM haswa katika siku za karibuni,kila siku hupata nafasi za kuchangia and he never disappoints ,ushahidi ni jinsi wabunge wa ccm wanavyompigiaga makofi na vigelegele.
Alinifurahisha sana siku alipomuambia Msigwa akae kimya kuhusu mambo ya dhahabu sababu hajawahi kuiona yeye na Mnyika wanachojua ni nyanya na matofali,sitasahau wabunge wa ccm walivyolipuka kwa shangwe
Mheshimiwa Rais,huyu Messi wa CCM aka Msukuma katokea Geita kule keshazoea kuona hayo madhahabu tafadhali aongoze timu ya Tanzania katika majadiliano na hao wezi wa Accasia.
Mheshimiwa Rais,usibabaike na maprofesa na madokta ukawajaza kwenye timu kumbe hata dhahabu hawajawi ona
Msukuma oyeeeee,la saba oyeeeeee.
Huyo boya tu dhuluma ndio jadi yke anakesi alichukua hati ya nyumba ya familia flani hpo kaluta street mwanza miaka ya 2009 akakopea 150m.....mpka kupata hiyo hati alikua anatembea na dada yao mkubwa ambae ndio alikua anakaa na hati.mpka sasa deni linakaribia 500m na kesi iko mahakama ya ardhi hpo mwanzaNyinyi nyote ni mashahidi jinsi kijana huyu machachari mwenye kujenga hoja za mashiko jinsi anavyotumainiwa na CCM haswa katika siku za karibuni,kila siku hupata nafasi za kuchangia and he never disappoints ,ushahidi ni jinsi wabunge wa ccm wanavyompigiaga makofi na vigelegele.
Alinifurahisha sana siku alipomuambia Msigwa akae kimya kuhusu mambo ya dhahabu sababu hajawahi kuiona yeye na Mnyika wanachojua ni nyanya na matofali,sitasahau wabunge wa ccm walivyolipuka kwa shangwe
Mheshimiwa Rais,huyu Messi wa CCM aka Msukuma katokea Geita kule keshazoea kuona hayo madhahabu tafadhali aongoze timu ya Tanzania katika majadiliano na hao wezi wa Accasia.
Mheshimiwa Rais,usibabaike na maprofesa na madokta ukawajaza kwenye timu kumbe hata dhahabu hawajawi ona
Msukuma oyeeeee,la saba oyeeeeee.
Nyinyi nyote ni mashahidi jinsi kijana huyu machachari mwenye kujenga hoja za mashiko jinsi anavyotumainiwa na CCM haswa katika siku za karibuni,kila siku hupata nafasi za kuchangia and he never disappoints ,ushahidi ni jinsi wabunge wa ccm wanavyompigiaga makofi na vigelegele.

Msukuma
Lusinde
Prof. Maji Marefu na wale wa mama wa ccm wa bungeni wote wajumuishwe kwenye kamati hii.
Hizi Noah lazima tupate tu [emoji23] [emoji23]
Mleta mada ameongea kifasihi zaidi wengine huenda wakamshambulia bila kujua.
Mkuu kuna ahadi ya NOAH ambayo sijaisikia nini nifumbue kidogo.Msukuma
Lusinde
Prof. Maji Marefu na wale wa mama wa ccm wa bungeni wote wajumuishwe kwenye kamati hii.
Hizi Noah lazima tupate tu [emoji23] [emoji23]
Nyinyi nyote ni mashahidi jinsi kijana huyu machachari mwenye kujenga hoja za mashiko jinsi anavyotumainiwa na CCM haswa katika siku za karibuni,kila siku hupata nafasi za kuchangia and he never disappoints ,ushahidi ni jinsi wabunge wa ccm wanavyompigiaga makofi na vigelegele.
Alinifurahisha sana siku alipomuambia Msigwa akae kimya kuhusu mambo ya dhahabu sababu hajawahi kuiona yeye na Mnyika wanachojua ni nyanya na matofali,sitasahau wabunge wa ccm walivyolipuka kwa shangwe
Mheshimiwa Rais,huyu Messi wa CCM aka Msukuma katokea Geita kule keshazoea kuona hayo madhahabu tafadhali aongoze timu ya Tanzania katika majadiliano na hao wezi wa Accasia.
Mheshimiwa Rais,usibabaike na maprofesa na madokta ukawajaza kwenye timu kumbe hata dhahabu hawajawi ona
Msukuma oyeeeee,la saba oyeeeeee.
In fact ni standard seven clever and brilliant mwenye akili hata kuliko RAIS WA TLS na wavuta bangi wengi kutoka upinzani. You know, he is talented to speak with confidence and data. Ukitaka kumjua vizuri kamuulize Mbowe eti ni kwa nini MSUKUMA hakumfuata LOWASA?Kweli Taifa Hili Linawatu Wapuuzi Sana .
Yani Mambo Yanayohitaji Utaalamu Halafu tumpeleke Standard Seven Yule Kisa Tu Anapata Nafasi Ya Kuongea Bungeni???
Ifike Mahali Watanzania Tujitathimini Na Kujitambua Vitu Tunavyohitaji Na Kuvipigania..