nyote mnajua kuwa juzi tu babu aliongozana na familia nzima hadi wapambe kwenda kufanyiwa check up ya kisukari ujerumani, jambo ambalo sio tu linaweza kufanywa na hospitali ya kawaida nyumbani bali pia ni la kwaida sana nyumbani.
Wakati tukishuhudia babu kwa muda wa wiki mbili na nusu kwa gharama kubwa zisizo mfano, leo hii kamanda ambaye juzi tu alisota rumande kwa mwezi mzima na kuwa gumzo kwa jamii kwani alikuwa akiwakilisha chama, kwa bahati mbaya ameugua na imebidi alazwe lakini matibabu aliyoyapata ni sawa tu na wanayopata raia wa kawaida muhimbili.
Mbona nasari juzi alivyojipiga ngumi ya pua alipewa first class treatment?
Makamanda inabidi muwaogope sana hawa viongozi wenu kwa ubaguzi wao.
Jitambue