Chris Lukosi
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 4,581
- 2,937
Bao nne za Arusha bado zimewalevya kwahiyo msishsangae huyo Mbulula, Dr wake wa kumtibu ugonjwa wa akili yupo, anaitwa Dr Pauline.Mijitu mingine bana!!
Mkuu Jakubumba, njoo msome swahiba wako kafungua thread ile ile kwa title tofauti.....
Huyu hana tofauti na shoga zake Juliana Shonza na Mwampamba. Mwisho wao unakaribia, dalili zimeanza kujionyesha.Bao nne za Arusha bado zimewalevya kwahiyo msishsangae huyo Mbulula, Dr wake wa kumtibu ugonjwa wa akili yupo, anaitwa Dr Pauline.
Huyo ndio lishoga lao kuu la akina shonza na tuntemekeHuyu hana tofauti na shoga zake Juliana Shonza na Mwampamba. Mwisho wao unakaribia, dalili zimeanza kujionyesha.
Boss, respect please,Mkuu.... Huyo jamaa anaumwa, tena mkimuudhi kidogo tu atajiua aisee
Hivi huoni tofauti ya picha za nassari na lwakatare wakiwa wamelazwa hospitali moja?hajaeweka unamaanisha nini
Mbona nimekupa respect yako? Au umepona?Boss, respect please,
Ukweli unaujua
Hivi huoni tofauti ya picha za nassari na lwakatare wakiwa wamelazwa hospitali moja?
Kwa hiyo wewe unaona sawa kabisa babu kwenda check up ugerumani na familioa nzima kwa wiki tatu halafu kamanda wa muhimu aliesota kwa muda mrefu jela kwa ajili ya chedema anatupa muhimbili third class na kusahaulika? eti kwa sababu sio wa kaskazini?Mimi ninachojua ni kuwa nasali alikuwa anatibiwa na bunge na si chama..au nimekosea mkuu. Hata hivyo sote ni watanzania tunapaswa kupata haki sawa ya huduma za afya..km kweli serikali yetu inafanya kazi.
Vp mkuu, karibu nyumbani kupige jembe basi mbona unapiga vigelegele ukiwa mbali? Njoo tukate mzigo basi.... Maana naona unasahau kabisa kwamba babu yuko hadi nje ya chama, ukipita ccbrt watakusaidia detailsKwa hiyo wewe unaona sawa kabisa babu kwenda check up ugerumani na familioa nzima kwa wiki tatu halafu kamanda wa muhimu aliesota kwa muda mrefu jela kwa ajili ya chedema anatupa muhimbili third class na kusahaulika? eti kwa sababu sio wa kaskazini?
UBAGUZI MBAYA SANA
JITAMBUE!
jitambue wee mbulumunduvp mkuu, karibu nyumbani kupige jembe basi mbona unapiga vigelegele ukiwa mbali? Njoo tukate mzigo basi.... Maana naona unasahau kabisa kwamba babu yuko hadi nje ya chama, ukipita ccbrt watakusaidia details
ila kua swali hujanijibu....umepona?
Pole sana.... Naona ndio umekwisha kabisajitambue wee mbulumundu
Mbona nimekupa respect yako? Au umepona?