Angalieni mnaoa wapi.

Angalieni mnaoa wapi.

vollies

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2015
Posts
748
Reaction score
446
ImageUploadedByJamiiForums1473180448.522879.jpg
 
tatizo ni tamthilia ikiwa imekolea na mr amebanwa na mkojo!... Wanawake saa ingine katili!?..
 
Ladies, Mkipewa hela ya kununulia mchicha mkaila na nyinyi mfanyiwe nini?! Au mliwe ka mchicha?!...
 
Hadi mwanamke akufanye hivo ulimchekea sana
Mwanamke si mtu wa kumchekea sana na pia asiweze kukutabiri
 
Daahhhh inabidi jamaa ajipange upya.... huo ni upumbavu
 
Back
Top Bottom