Angalieni kituko kingine TBC live Mzee Mkinga anamtetea Bashite

Angalieni kituko kingine TBC live Mzee Mkinga anamtetea Bashite

Yule mzee yupo dipuu sana mambo ya bandarini. Ila sikuhizi tangu kala ukurugenzi amepunguza machachari.
Kwani nani alisema kuna masofa? akawaulize waliosema.
 
Yule mzee yupo dipuu sana mambo ya bandarini. Ila sikuhizi tangu kala ukurugenzi amepunguza machachari.
Kwani nani alisema kuna masofa? akawaulize waliosema.
Swala ni kodi ziwe sofa, mianzi, ulanzi, kimpuni mladi kimetoka nje, hapa kodi tu.
 
Hivi vijana wa bavicha mna nn? Si huwa mnasema hamuangalii tbc?
 
Yule mzee yupo dipuu sana mambo ya bandarini. Ila sikuhizi tangu kala ukurugenzi amepunguza machachari.
Kwani nani alisema kuna masofa? akawaulize waliosema.
Kumbe yupo bandari,nilikuwa hata sijui kuwa kapewa shavu.ivi uwa wanalipwa shi ngapi ma director wa bodi ya bandari? Maana naona kumbe nae ni director kwa sasa
 
Ni kweli siyo ya Makonda, ule mnada ulihusu makontena mengi tofauti yanayomilikiwa na watu tofauti. Haukuwa mnada wa makontena ya Makonda pekee, ule huwa unaendeshwa mara nyingi kwa bidhaa zilishindwa kulipiwa kodi.

Yupo sahihi kusema hivyo, msilazimishe kisichokuwa hivi kiwe vile. Mnalazimisha ni yake wakati siyo
 
Hii nchi ilipofikia tusiombe tena ila tutubu tu labda kuna mzee nilifikirigi ana elimu kubwa lkn anaongea mashudu tupu anadai yale makontena yaliyokua na matrekita na masofa yalikua karibu ña makontena ya makonda tu śo watu wakafikiri ni ya bashite
Ni kweli siyo ya Bashite
 
Back
Top Bottom