Nyakua nyakitita
Senior Member
- Apr 14, 2014
- 193
- 43
LUKU
Ref BI88BN522
Meter 37135271479
Receipt EVG259343132
Units 7.90kWh
0538 2831 0976 5471 7881
Cost TZS 2,931.20
Timebased TZS 13,468.80
TOTAL TZS 16,400.00
LUKU
Ref BI88BN522
Meter 37135271479
Receipt EVG259343132
Units 7.90kWh
0538 2831 0976 5471 7881
Cost TZS 2,931.20
Timebased TZS 13,468.80
TOTAL TZS 16,400.00
Wewe mshikaji kweli choka mbaya Duh!
LUKU
Ref BI88BN522
Meter 37135271479
Receipt EVG259343132
Units 7.90kWh
0538 2831 0976 5471 7881
Cost TZS 2,931.20
Timebased TZS 13,468.80
TOTAL TZS 16,400.00
LUKU
Ref BI88BN522
Meter 37135271479
Receipt EVG259343132
Units 7.90kWh
0538 2831 0976 5471 7881
Cost TZS 2,931.20
Timebased TZS 13,468.80
TOTAL TZS 16,400.00
Kuna kautaratibu unatakiwa wajanja wakuelekeze ili uwwze kuepukana na makato makali ya aina hiyo
Toa maujanja hata kwa PM
Hahahahhaah ujanja ni ku-bypass meter nikishawahi fanya kitambo sana hata uwe na jiko, ac, na mauchafu yote kitu unit 10 tu kwa mwezi
itabidi iwe hivyo hata hizo unit 10 kwa mwezi nyingi mimi nataka 1unit kwa mwezi.
Hii nchi kila mtu ajigaie anavyoweza sasa
Hapo tayari umeshaa changia SINGA SINGA na JR kama 13468/= na mbado mwakan watasema wanajiendesha kwa hasara wana omba waongeze hapo japo ka 2000/=
Walau ifike 15000/= cheze jambaz wew
Itakuwa ulikuwa hujanunua umeme kwa miezi miwili mfululizo wakakata service charge kilichobak ndicho wamekupatia
kuna kitu nataka nikuelekeze lakini kwanza uwe unajua kwa mwezi unatumia wastani wa Unit ngapi na ni nzuri kama ni pungufu ya 75 units.
Wewe mshikaji kweli choka mbaya Duh!
itabidi iwe hivyo hata hizo unit 10 kwa mwezi nyingi mimi nataka 1unit kwa mwezi.
Hii nchi kila mtu ajigaie anavyoweza sasa