BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,322
Hawa watu bado tunao duniani humu na kumbe sio vitu vya kutengeneza katika movie.
Ananyanyua watu na hata saut yake akipiga kelele vitu vinatawanyika ...!I wish ningekua na hii ya kunyanyua watu hii
Sure mwanaAnanyanyua watu na hata saut yake akipiga kelele vitu vinatawanyika ...!
ila ishu ni how uta maintain nguvu mana wakat mwingine inaweza kua out of control..
wenye special powers kama hawa kama marekan hua wnaachukuliwa na watu wa usalama wanaenda kupewa mafunzo ya usalama wanaakua special agents lakin wenye special talents
Hapana. Ni ukweli hizo ni live cameras kama mnavojua mbele ni mbele tu sio bongo kusema kila mahali kutakua kunafungwa kamera..wenzetu kosa la barabarani sjui ulijifanya ku overtake kwa spidi kitu kinapiga picha plate number za gari na fain utaikuta katika mshahara wako unakuta ngoma imekatwa na unaambiwa ni charge ya nini na kwanini...Uongo tu
Usikariri mkuu! Unaona kabisa video zingine Ni very local Kama hiyo ya mdada anawanyanyua watu, zingine zimetoka kwenye CCTV cameras, au Ile ya kwanzaUongo tu
Sure mkuu.Usikariri mkuu! Unaona kabisa video zingine Ni very local Kama hiyo ya mdada anawanyanyua watu, zingine zimetoka kwenye CCTV cameras, au Ile ya kwanza
Hizo roho zinahitaji mlango kutokea sehemu ya pili?Kuna Kitu ambavyo hata nimeshawahi shuhudia Kilinitatiza ila nikavipotezea ila nikaadithia later....
Kuna Siku mchana nilikaa eneo la Office mapokeni mlango ulikuwa ni wa glass na una Door Closer makini kabisa... basi ule Mlango ulifunguka vizuri as if kuna mtu anaingia ofisini na ukajifunga kama kawaida yake nikajiuliza how come kama kungekuwa na nguvu ya upepo basi kufunguka kwake upepo ungekuwa umetokea ofisini maana mlango wenyewe ulikuwa ukiwa nje ndio unauvuta... nikamezea lakini nikashindwa nikamhadithia mwenye office yake ya mapokezi akaniambia yah hata yeye ashashuhudia siku ukifunguka wenyewe... Nadhani kuna viumbe tunaishi navyo ambavyo havionekani ila vina power ya kuendesha vitu tunavyovitumia nikahisi atakuwa invisible person.
Ati Ms Lincoln Hebu nielezee huwa zinakuwa roho za viumbe gani haswa?Hizo roho zinahitaji mlango kutokea sehemu ya pili?
Mkuu mimi tatizo langu siamini katika hzo super natural powers kama zipo kweli naonaga ni hadithi za kusadikika tu kama kukua kwa uchumi wa TanzaniaUsikariri mkuu! Unaona kabisa video zingine Ni very local Kama hiyo ya mdada anawanyanyua watu, zingine zimetoka kwenye CCTV cameras, au Ile ya kwanza
Mkuu mimi tatizo langu siamini katika hzo super natural powers kama zipo kweli naonaga ni hadithi za kusadikika tu kama kukua kwa uchumi wa Tanzania
Si ndo hapo mkuu! Tatizo watu wamekariri, angepitia thread kuhusu Meditation angeweza kujua kuhusu hizo nguvu ambazo hata yeye anaweza kuwa nazo.Sure mkuu.
kitu cha kutengeneza kinaonekana
kitu ambacho kinafanyika live kinaonekana kabisa..
mfano alivopiga kelele vitu vikatawanyika ina mana kuna mtu alivipiga mateke?
Mkuu kuna thread kibao hapa zitafute, hasa ya Pascal ambapo mpaka watu wanaeleza mambo ya ajabu kwa nguvu ya ajabu walivyokua wakifanya, wengine walichukulia kawaida Tu, check hizo thread utaona wadau wengine walikua wanatoka mpaka nje ya miili yao! Labda itakuongezea uelewaMkuu mimi tatizo langu siamini katika hzo super natural powers kama zipo kweli naonaga ni hadithi za kusadikika tu kama kukua kwa uchumi wa Tanzania