Kikwete alipewa udaktari baada ya kugundulika kuwa CDM wangempa ugombea u-rais Dk Slaa back in 2010.
Ishu ikawa, CDM wana Dk Slaa, CUF wana Prof Lipumba je CCM wana nani...Mh JK Kikwete??? hapana.....Dk Kikwete.
it was political move basiiiiiiiiiiiiiii....hakuna heshima wala nini, pure politiki kama kawaida ya bongo!!!!!!!!!!!!!
Kwani sas hivi haja kua,mbona ana wake wengi na watoto?inwezekana hata ukanali wa jeshi alipewa kama anavyopewa phd za heshima, kumbukeni maneno ya NYERERE aliposema bado hajaiva kisiasa asubiri kwanza akue watu hawakumwelewa
Hivi JK ameandika vitabu vingapi? Au basi ata academic/ research papers au articles ngapi? Nyerere aliandika vya kutosha, sina uhakika na Mwinyi na Mkapa.
kwani uandishi wa vitabu ni kipimo cha udokta?Hivi JK ameandika vitabu vingapi? Au basi ata academic/ research papers au articles ngapi? Nyerere aliandika vya kutosha, sina uhakika na Mwinyi na Mkapa.
Na Dr. Mengi aelezwe!
Waziri mkuu wa Kenya Raila Odinga alirejea nchini mwake akitokea Marekani alikopewa shahada ya heshima ya Udaktari na chuo kikuu cha Florida Agricultural and Mechanical University huko Tallahase. Kutokana na ukio hilo, gazeti la The Daily Nation la Kenya lilipambwa na kichwa cha habari hiki "Applause as 'Dr Odinga' returns. Au shangwe ujio wa 'daktari Odinga'. Wametumia neno daktari kwa uangalifu kwa kuliwekea alama za kufunga na kufungua usemi wakijua kuwa udaktari wa kupewa hata kama ni wa heshima si heshima kuutumia kama baadhi ya viongozi wa Tanzania wanavyofanya hasa rais Jakaya Kikwete. Wanaojua maana ya shahada za heshima wanashangaa sana hasa ikizingatiwa kuwa marehemu baba wa Taifa alikuwa miongoni mwa viongozi waliotunukiwa shahada nyingi za heshima kutoka na mchango wake katika kufikiri kidunia. Hivyo ingekuwa vizuri wanaomshauri rais Kikwete kumwambia aachane na kutambia udaktari wa heshima. Maana hata marais wenzake kama vile Mwai Kibaki, Yoweri Museveni na Paul Kagame wanazo shahada hizi tena nyingi lakini hawajinasibishi nazo.
Ni Kweli Mh. Hata jana nilisikia Dr. Reginald Mengi. Dr. Augustine mrema , just shame.
U-Dr huo ni jamii kutambua mchango wako lkn kwa Wabongo ni title kuliko ubatizo! Wengine hata majina yao halisi wameshaanza kuyasahau? Hata waliokuwa wanafikiria kusoma hawaendi tena maana title wameshazipata! Hapo ndio uone wabongo wanavyozitafuta title hata kwa shule fake...loh!