Angalia uzoefu wangu kisha naomba kazi

restore 1985

Member
Dec 1, 2017
93
126
Habari za jioni wakuu...
Angalia uzoefu wangu huu wa kazi ambazo nilishafanya kisha kama inawezekana uniajiri.
1. Nimewahi fanya kazi kama Administration officer na Records. Nikatoka na uzoefu ufatao
- Kutengeneza petty cash na kuweza itumia ipasavyo
- Kutengeneza records chart kwa matumizi ya ofisi
- Kufanya kazi zote za ofisi kama secretary maana yake ofisi haikuhitaji kuajiri secretary
- Kufanya kazi zote za ofisi zinazohusiana na matumizi ya computer.
- Nilifanya kazi kama cashier.
Hapa ilikuwa ni kwenye kampuni la kukodisha magari.

2. Nimewahi fanya kazi kama mwalimu na kama mtu wa records wa shule
- Nilifundisha masomo ya sanaa civics, history, geography pia na Tehama. Nilifundisha kidato cha 2-4.

3. Nina uwezo wa kuandika makala mbalimbali za siasa, dini na mambo ya kijamii kama mahusiano na ndoa.

Elimu yangu ni degree moja ya Political Science and Public Administration.
Napatikana Dar es salaam. 0759 890 889 au 0787 429 104.

Nipo tayari kufanya kazi kwa mshahara ambao utakidhi mahitaji ya nauli na chakula kwa kuanza huku ukiangalia utendaji wangu wa kazi.
Asanteni sana.
 
Mkuu usikate tamaa atapatikana tu wakukusaidia. Usichoke kupambana.
 
Umetisha sana Mungu akutangulie... Ulivyoandika Kunaongea na kuonesha ulivyo Super
 
Mungu atafungua milango ya baraka na utafanikiwa.... Usiache kumuomba Mungu endelea tu maana yeye hawahi wala hakawii
 
- Umri wangu ni miaka 32.
- Jinsia yangu ni mwanaume / ME / Male.
- Sina ulemavu wowote kama macho au viungo vyovyote.
 
Jamani bado sjapata wa kunisaidia kazi....
Msidhan naomba kazi eti sjishughurishi wakuu.
- Nimewahi choma mahindi mbezi nikiwa na degree.
- Nimewahi osha magari nikiwa na degree tena wakati mwngne naosha nondoka sipewi hata mia jamaa akawa anadai hesabu kwa boss haijatimia.
- Wakati mwingine natembea kwa mguu km na ma km kutafuta.
Ndo hivyo wakuu......
Masaada jamani mi hata english medium primary nafundisha.
 
Jamani bado sjapata wa kunisaidia kazi....
Msidhan naomba kazi eti sjishughurishi wakuu.
- Nimewahi choma mahindi mbezi nikiwa na degree.
- Nimewahi osha magari nikiwa na degree tena wakati mwngne naosha nondoka sipewi hata mia jamaa akawa anadai hesabu kwa boss haijatimia.
- Wakati mwingine natembea kwa mguu km na ma km kutafuta.
Ndo hivyo wakuu......
Masaada jamani mi hata english medium primary nafundisha.
Wewe ni kabila gani?
 
Daah bongo nyoso sana.....sikiliza sana wimbo wa psquare unaitwa bring it on ..it bring hope and encouragement....god be with u
 
Usikate tamaa it can take five years but jua kupata kazi is a matter of a single day, vyeti havijawahi mtupa mtu, fanya applications sana ambazo unakuwa unahakika ziko level yako.. Check huko kwenye microfinance, pia angalia sana job za mahakama maana wanachukua sana afisa utawala wenye qualifications kama zako
 
Back
Top Bottom