Ni kweli nilishiriki kumkaribisha Lowassa UKAWA lakini dhamira na nafsi yangu inanisuta Tumekaribisha watu wa CCM ambao waliipinga Rasimu ya Katiba, najiuliza tutaweza kusimamia malengo ya UKAWA
Mtoa mada unatoka Povu la nini wakati senetensi ya juu umei quote mwenyewe iko clear kabisa,ulitaka aongee nini zaidi ya hiko.
Mifano ya dini na siasa are irrelevant,hili kosa huwa mnalirudia mara kwa maraHii ni sawa na Shehe kujiuzuru na kuwa muumini wa kawaida kisa kamsilimisha askofu aliyekuwa anaupinga uislam, sababu eti nimefanya makosa kumkaribisha mtu aliyekuwa anapinga uislam. Hata mtume Paulo,zamani akiitwa Sauli alikuwa katili zidi ya Ukristo hata kuua wote waliokuwa wanahubiri injili, lakini alivyobadilika na kuitwa Paulo alifanya kazi kubwa ya kueneza Injili na hata kuandika vitabu kadhaa vya Injili. Wakristo wa enzi hizo wangekuwa na akili kama za Lipumba wangemkataa Paulo.
Ukweli wa dhamira mbaya tunaujua tayari,ukweli ambao hatuujui ni dhamira ya LowassaKatiba mpya ya wananchi haitopatikana kwa kuwakataa walioipinga bali ni kwa kuwachukua ili ndio watoe ukwel kwa wananchi dhamira mbaya ya maccm juu ya mchakato wa katiba mpya!
Very relevant,hebu tujadiliane kwa nini unasema sio relevantIrrelevant comparison.
Mpaka sasa angalia mnufaika mkubwa wa UKAWA ni CHADEMA. Wengine wasindikizaji tu, hawana chao zaidi ya kutegemea huruma.
Lowassa ndio mnafiki na tapeli mkubwa. Kulikuwa hakuna haja Ya yeye kuchukua fomu ya kugombea urais akiwa CCM kama alitaka mabadiliko ya mfumo. Angetoka mapema sio mpaka akatwe
Watu wengi mnaongea bila kujua haya mambo yote ni ya kisiasa na mjue kama siasi inajengwa na unafiki. Asiyekua mnafiki ndani ya siasa huyo ni bora akaachana nayo. Usione vyama vyote vinavyounda Ukawa kama nia yao ni moja hapana, kwani ingekua hivyo wangewa wote wameunda chama kimoja wakakisajili kama chama cha ukawa. Ila hapo walipo wengine dans nia ya kudhofishana wao kwa wao na ndiyo mkenge ambao chadema wameingizwa na wenzao kwa kumfagilia Edo. kinacho fanyika ni kuipunguzia CDM uaminifu kwa watz ili kiburi cha wanacdm kishuke cha kujiona wao ndo chama tu cha upinzani TZ na tayari malengo yameshatia. Kuwa na MTU njia moja hahina maana ya wote mnaenda sehemu moja..
tazama boy language ya hiyo picha, inaonesha wazi kabisa lowasa analazimisha kumkumbatia professor lipumba na lipumba dhamira inamsuta, anamsukuma mikono lowasa bila kujijuwa na hata sura ya lipumba kwenye hiyo picha inaonesha yupo mbali kabisa na hayupo hapo, hata hiyo "smiling" ni wazi kabisa kuwa ni "plastic". Linganisha na hii...
sasa toka lini wewe mwana c.c.m ukampigia kura kamanda lowassa wa ukawa?tatizo mnadhani kila mwana ukawa ni teamlowasa!
Mmechemsha sana!
Lowasa siwezi kumpigia kura hata iweje!
Huyu Jamaa ni Mnafiki sana, Sijapata Kuona Prof. kama Huyu
acha kutu danganya hivi hata picha huoni japo kusoma ni mgogoro
Kuwa profesa si kuwa na akili, ni kuweza kufanya tu kitu kidogo mno kwa usahihiUlimwengu wa Siasa Tanzania August 06 2015 umepokea headlines nyingine zenye uzito ambapo aliyekuwa Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba ametangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa Chama hicho.Hapa ilikuwa meza kuu, yuko Freeman Mbowe (CHADEMA), Edward Lowassa (CHADEMA) na Prof. Lipumba (CUF)
Sentensi nyingine amesema hivi >>> 'Taarifa ya kung'atuka niliitoa August 01 2015, nilisubiri kukamilisha masuala ya UKAWA ndio nitoke… Ninaendelea kuwa Mwanachama wa CUF na nimelipia Kadi ya Uanachama mpaka 2020, sina mpango wa Kujiunga ACT'-Prof. Lipumba.Hapa nina pichaz nyingine Kumbukumbu ya July 28 2015 siku Edward Lowassaalivyokaribishwa rasmi CHADEMA na UKAWA.
Maamuz ni ya chama na si mtu mmoja. Kama chama bado hakijajitoa ukawa, anarud ongeze chama chenye sera tofaut na yéyé?? Anatumika bila kuulizia&[HASHTAG]#8216[/HASHTAG];Ni kweli nilishiriki kumkaribisha Lowassa UKAWA lakini dhamira na nafsi yangu inanisuta&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG]; Tumekaribisha watu wa CCM ambao waliipinga Rasimu ya Katiba, najiuliza tutaweza kusimamia malengo ya UKAWA&[HASHTAG]#8216[/HASHTAG];
Mtoa mada unatoka Povu la nini wakati senetensi ya juu umei quote mwenyewe iko clear kabisa,ulitaka aongee nini zaidi ya hiko.