Angalia unafiki wa Profesa Lipumba

Lipumba alitaka wabakie wao wenyewe tu ndio wapambane na CCM...

So pathetic...
 

Irrelevant comparison.
 

Mi naona huyu sio sungura bali ni kenge mkubwa aliyewaingiza mkenge UKAWA. Ama kweli katika msafara wa mamba kenge hawakosi.
 

Mtoa mada ni NYUMBU
 
Mnafiki kweli huyu pro, Angeweza kualibu ukawa Siku za mbele ni bora katoka mapema
 
Safi sana BAVICHA tukana kila mtu mwenye mawazo tofauti na Mbowe.
 
kapewa bilion nne kakimbia nchi kenge huyu ila haja athir kitu.
 

Hiyo haifanyi Professor kua mnafiki, huwezi kupima kwa kuangalia kinachotokea Jukwaani kuna vikao ambavyo Professor anasema walikubaliana na makubaliano yamekiukwa, amekwenda mbali zaidi kueleza muungano wao UKAWA una maana gani;

mtazame Dr



Hii haikufanyi umwite Dr kwamba mnafiki eti kwa sababu alishiriki vikao vya awali kumjadili FISADI.
 

Mpaka sasa angalia mnufaika mkubwa wa UKAWA ni CHADEMA. Wengine wasindikizaji tu, hawana chao zaidi ya kutegemea huruma.
 
Lipumba mnafki kulikua hakuna haja ya kupretend siku zote toka Lowassa kaingia UKAWA yani alivyopata tu tetesi kua Lowassa angekuja UKAWA angejiuzulu wala asingesubiri sijui kumkaribisha

Lowassa ndio mnafiki na tapeli mkubwa. Kulikuwa hakuna haja Ya yeye kuchukua fomu ya kugombea urais akiwa CCM kama alitaka mabadiliko ya mfumo. Angetoka mapema sio mpaka akatwe
 

Katiba mpya ya wananchi haitopatikana kwa kuwakataa walioipinga bali ni kwa kuwachukua ili ndio watoe ukwel kwa wananchi dhamira mbaya ya maccm juu ya mchakato wa katiba mpya!
 
Watu wengi mnaongea bila kujua haya mambo yote ni ya kisiasa na mjue kama siasi inajengwa na unafiki. Asiyekua mnafiki ndani ya siasa huyo ni bora akaachana nayo. Usione vyama vyote vinavyounda Ukawa kama nia yao ni moja hapana, kwani ingekua hivyo wangewa wote wameunda chama kimoja wakakisajili kama chama cha ukawa. Ila hapo walipo wengine dans nia ya kudhofishana wao kwa wao na ndiyo mkenge ambao chadema wameingizwa na wenzao kwa kumfagilia Edo. kinacho fanyika ni kuipunguzia CDM uaminifu kwa watz ili kiburi cha wanacdm kishuke cha kujiona wao ndo chama tu cha upinzani TZ na tayari malengo yameshatia. Kuwa na MTU njia moja hahina maana ya wote mnaenda sehemu moja..
 
mkuu muda mwingine huwa napata shaka sana na elimu zetu,maamuzi ya obama katika vita vya siria ufananishe na maamuzi ya kiongozi wa chama cha siasa kujitoa ?

mkuu usipate shaka na elimu zetu, pata shaka na uwezo wetu wa kufikiri na ufahamu!!! hapo ndipo tuna shida kubwa
 
Nafsi imemsuta atakavyohujumu ukawa Kama alivyofanya 2010 kwa JK
 

Hii ni sawa na Shehe kujiuzuru na kuwa muumini wa kawaida kisa kamsilimisha askofu aliyekuwa anaupinga uislam, sababu eti nimefanya makosa kumkaribisha mtu aliyekuwa anapinga uislam. Hata mtume Paulo,zamani akiitwa Sauli alikuwa katili zidi ya Ukristo hata kuua wote waliokuwa wanahubiri injili, lakini alivyobadilika na kuitwa Paulo alifanya kazi kubwa ya kueneza Injili na hata kuandika vitabu kadhaa vya Injili. Wakristo wa enzi hizo wangekuwa na akili kama za Lipumba wangemkataa Paulo.
 
anasema 'nafsi itamsuta' hivyo inawezekana siku hiyo alikuwa kaisahau nafsi yake nyumbani.
Akitaka aaminike tena ni lazima akija public aambatane na mkewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…